International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za mafuta kwa mataifa yaliyoweka kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi, kuanzia Februari 1, 2023 kwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Tamko hilo la Shirika la Afya (WHO) limetolewa baada ya Nchi kadhaa kuanza kuweka vikwazo na masharti mapya kwa wasafiri wanaotoka China hivi karibuni. WHO wamesema wanahitaji kujua takwimu za...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Kumekucha NATO wapo tayar anasubiriwa tu bwana PUTIN aanze tu na hizo NUKE zake aoneshwe SHUGHULI ANGALIZO KAMA HII LUGHA INA SHIDA NA WEWE USICHANGIE KWA MIHEMKO...MTAFUTE MTU AKUSOMEE UELEWE...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Taarifa ya Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Norway (IHR) lenye makazi yake Nchini #Iran ni kuwa idadi hiyo ya watu wanakabiliwa na hukumu hiyo [amoja na kesi za mauaji. Wanawake watano ni...
0 Reactions
7 Replies
854 Views
Wakuu mwezi wa 6 mwaka huu DRC iliomba kujiunga na EAC je tuikubalie?. Kwanza tuone hali ilivyo kwenye EAC. Sasa kuna nchi sita, Burundi, Kenya, Tanzania, South Sudan, Rwanda na Uganda. Maombi ya...
12 Reactions
77 Replies
9K Views
Katika vitu ambavyo mimi na fikiria zaidi ni hivi vita vya Kongo na M23. Hawa M23 ni akina nani. M23 KAMA wanavyo sema wao ni kikundi cha kutetea amani ya wanyamulenge wakongo ambao...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimekumbuka mbali taifa kubwa liloshindwa kulipa deni na kumpa zana nzito kama kufidia deni kampuni ya pepsi. Yani muuza soda ana miliki zana nzito za vita mpaka sabmarine. Ni ili lilipelekea...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
BAADA ya kuuawa kwa Kiongozi wa Kundi la Al Qaeda, Osama Bin Laden na makomandoo wa Marekani wiki iliyopita walisema nchi hiyo sasa inahofiwa kuifanya China kuwa adui wake namba moja na kuuteka...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Kauli hiyo ya Rwanda imetolewa wakati mivutano kati ya majirani hao wawili ikiongezeka juu ya waasi wanaozidi kusonga mbele katika eneo lenye mzozo la Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos...
1 Reactions
1 Replies
890 Views
Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao Kanisa...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Unajua wa Afrika mara nyingi tunakosea kupata viongozi imara kwasababu ya ushabiki wetu Mtu anaweza kujua kabisa huyu bwana credit yake sio nzuri lakini atapenda kutumia ushabiki wake kumchagua tu...
0 Reactions
4 Replies
685 Views
Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na...
1 Reactions
3 Replies
894 Views
Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China...
1 Reactions
2 Replies
435 Views
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini...
20 Reactions
181 Replies
8K Views
Rwanda ya kagame inacheza game moja chafu sana eneo la maziwa makuu. Kwanza walipovamia congo walipandikiza majasusi kibao congo. Jeshi la DRC Fardc si chochote ni mkusanyiko wa wahuni tu...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya...
1 Reactions
1 Replies
491 Views
Back
Top Bottom