According to a French billionaire and RDH President Philippe Argillier, the World Deep State a.k.a. Shadow Government infrastructure is behind World Governments officials who are paraded in front...
Muungano wa zamani wa chama tawala cha Kiraia nchini humo (FFC-CC) na Serikali ya Kijeshi wanatarajiwa kutia saini makubaliano ya mfumo unaolenga kurejesha Serikali ya Kidemokrasia
Makubaliano...
Vita vya Ukraine vimeingia hatua nyengine. Hatua hii ni mrusi kuvunja na kubomoa vituo vya maji na umeme nchi nzima katika kipindi cha baridi.
Katika mashambulio ya leo ambayo Ukraine...
Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa"
========
LUGANSK, December 2
Ukrainian service members...
Nigeria jana Jumatatu ilirejesha huduma ya usafiri wa treni kati ya mji mkuu Abuja na mji wa kaskazini wa Kaduna, miezi minane baada ya kusitishwa kufuatia moja ya mashambulizi makubwa zaidi...
Kampuni hiyo ya New World TV ya Togo yenye haki ya kutangaza na kusambaza haki za michuano hiyo Kusini mwa Jangwa la Sahara imeeleza kuwa imepata mashambulizi kadhaa tangu kuanza kwa michuano...
Mamia ya vijana wameitikia wito wa Rais Felix Tshisekedi kujiunga na Jeshi katika vita dhidi ya waasi wa M23 ambao wanadhibiti maeneo makubwa karibu na Mji wa Goma baada ya mfululizo wa...
Industry leaders see India’s G20 presidency as something they can benefit from, with CII director general Chandrajit Banerjee saying it's a unique opportunity for businesses.
TCA Sharad Raghavan...
Tafsiri kutoka gazeti la The Print.
DISEMBA Mosi Mwaka huu India ilianza rasmi kuongoza nchi zenye uchumi mkubwa duniani maarufu kwa jina la G20,huku Matarajio ya wadau mbali mbali katika uongozi...
Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki.
Zaidi...
Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook.
Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia...
TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA.
IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"...
"Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo...
Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya...
Tumeona vita visivyoisha Mashariki mwa DRC kwa miongo kadhaa sasa. Chanzo cha vita hii kilikuwa haijajulikana hasa. Na wengi tulijiuliza ni kwa nini Rwanda na Uganda wanajihusisha na vita hii...
Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea...
Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha?
Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Huduma za Usimamizi wa Dharura kutoka Jiji la Johannesburg, waumini 16 kati 33 waliokolewa huku watu 8 wakiwa hawajapatikana hadi sasa
Mchungaji aliyekuwa...
Shujaa Magufuli anakumbukwa na Wengi ikiwemo huko China japo hawamtaji moja kwa moja lakini baadhi ya Wachina wamesema Tanzania ilifuata njia sahihi za kuwatuliza kisaikolojia Watu wake kwa sababu...
Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Marekani na Ulaya
Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.