Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika...
Neno "HELICAL ENGINE" litakuwa ni jambo geni kwako helical engine itaweza kusafiri kuliko speed ya muda na speed ya mwaga ambapo binadamu ataweza kusafiri kwa sekunde 1.3 kwenda kwenye mwezi na...
The eugenics mogul Bill Gates is once again in the headlines.This time around he is pledging $7 billion to control population and promote abortion in Africa
Friday, December 09, 2022
Natural...
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky
Ukrainians should accept rolling blackouts as part of their lives, the president suggests
Restoring energy system ‘impossible’ – Zelensky...
Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na...
Rais Emmanuel Macron ametangaza hatua hiyo baada ya ripoti ya Serikali kuonesha ongezeko kubwa la Magonjwa ya Zinaa kwenye kundi la Vijana na Watoto.
Huduma hiyo itaanza kupatikana nchi nzima...
Kufuatia ripoti ya ukaguzi wa fedha iliyofanywa hivi karibu katika wizara ya ulinzi iliyopo Pentagon nchini Marekani, imebainika kuwa $Trilioni 2.2 hazijulikani zilipo.
Matokeo ya ripoti hiyo...
Sunday, December 04, 2022
Remember
Snowden? He’s the man who revealed that the US government says it’s not a crime to spy on the American people, only a crime to expose that illegal and...
Tarehe 30 Novemba taifa la China lilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kumpoteza rais mstaafu wa China Jiang Zemin aliyefariki mjini Shanghai akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na ugonjwa. Akiwa...
Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1.
Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha...
Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi.
A...
Mahakama imetoa hukmu hiyo kwa Cristina Fernandez de Kirchner mwenye umri wa miaka 69, kutokana na kumkuta na makosa ya rushwa
Kiongozi huyo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa...
08 DECEMBER 2022
Former German Chancellor Angela Merkel yesterday admitted that her participation in the Minsk Agreements between Ukraine and Russia in 2014 and 2015, was a deliberate...
Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12...
Demokrasia ni mtindo wa kiutawala ulioasisiwa na Warumi ambapo uwakilishi wa wananchi na uongozi huamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe.
Na demokrasia ilianzishwa hata kabla ya Kristo(BC)...
Umoja wa Mataifa umeonesha wasiwasi juu ya Sheria Mpya ya Uhalifu na kuonya sheria zilizorekebishwa zinaweza kusababisha mmomonyoko wa Uhuru wa Vyombo vya Habari, faragha na Haki za Binadamu...
Punguzo hilo linaweza kusaidia Ankara kuzuia kupanda kwa bei ya nishati, 'The outlet reports'
Ankara inatafuta kupunguzwa kwa bei kwa zaidi ya 25% ya gesi asilia ya Urusi, Bloomberg iliripoti...
Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza...
Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za...
Baadhi yao wanawake hata kunaye umri wake 15 kanyongwa kisa migogoro ya hovyo, sijiu Iran waliingiaje kwenye huu uzombi wa kidini na jinsi walivyo genius, watu wenye akili sana.
Iran executed at...
TUTAIPIGA URUSI KILA KONA YA NCHI.
Kiongozi mmoja wa Ukraine ambaye ni mshauri wa jeshi la ulinzi amesema kwamba, watahakikisha hakutokuwa na ukomo wa makombora yao yatakayoishambulia Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.