International Forum

News and Stories from rest of the World
Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020. Samahani kwa msiojua...
2 Reactions
12 Replies
939 Views
Aliyekuwa Rais wa China bwana Jiang Zemin amefariki dunia leo alfajiri mjini Shanghai China akiwa na umri wa miaka 96. Taarifa kutoka vyombo vya utawala vya China [ kamati kuu ya Chama cha...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ubelgiji imeitolea wito nchi ya Rwanda "kusitisha msaada wowote" kwa waasi wa M23 wanaoendelea na mapigano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, baada ya uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kubaini...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
WAR IN UKRAINE Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia https://www.thetimes.co.uk/article/ukraine-drone-warfare-russia-732jsshpx
4 Reactions
92 Replies
7K Views
Disemba 12, China ilirusha kwa mafanikio satelaiti mbili za majaribio, Shiyan-20A na Shiyan-20B, kwa kutumia roketi ya LongMarch 4C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Jiuquan...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) unalenga kutambulika kama moja ya Nchi zenye Ubunifu wa Hali ya Juu zaidi duniani, na hilo kimekuwa likidhihirishwa kupitia Majengo yake ya kuvutia Hoteli ya...
12 Reactions
50 Replies
6K Views
Baadhi ya wabunge wa bunge la Ulaya wamekamatwa kwa tuhuma za rushwa waliyo lipwa na Qatar kwa sababu ambazo hazijajulikana. Huko ndiko CHADEMA huwa wanaenda kutuchafua wakati wao nao kumbe ni...
-1 Reactions
71 Replies
2K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema tishio la vita vya nyuklia lilikuwa linaongezeka, lakini akasisitiza kuwa Urusi "haina wazimu" na haitatumia silaha zake za nyuklia kwanza. Maafisa wa nchi za...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Watu kadhaa wamekamatwa nchini Ujerumani katika jaribio la mapinduzi. Zaidi ya polisi 3000 wamesambazwa kwenye miji mbalimbali ya nchi hiyo tokea Berlin mpaka Hamburg. Mpaka sasa jumla ya...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Khalid al-Misslam, Mwandishi wa picha aliyekuwa akifanya kazi na Kituo cha runinga cha Al Kass, amefariki jana huku sababu za kifo chake zikiwa hazifahamiki hadi sasa Khalid ni Mwanahabari wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bilionea rafiki wa Putin: Ni wakati wa kuwaonyesha Magharibi nguvu za kijeshi za Urusi Mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa wanaounga mkono uamuzi Vladimir Putin wakuivamia Ukraine mwenye jumri...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Supapawa baada ya kuishiwa wanajeshi, imekua ikitumia wafungwa kupigana kwa niaba yake, sasa Mzambia aliyeuawa kwenye hayo mapambano, mwili wake utaletwa nyumbani....takbir The body of a Zambian...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanajeshi wote wanaficha nyuso zao. Wa Ukraine wanavaa mask vilevile wa Urusi. Sababu kubwa ni nini wakuu. Tumezoea kuona vita vingi mbalimbali watu walikuwa wanaenda wanakodoa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameahidi kuchukua tena udhibiti katika maeneo zaidi ya ukanda wa Donbas kutoka kwa vikosi vya Urusi. Zelensky amesema haya baada vikosi vya nchi yake kutangaza...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Hela ya Iran, Rial, haijawahi kuanguka kiasi hiki, huku maandamo yakiendelea ya kupinga mauaji yanayofanywa na maaskari wa serikali wanaomlinda "mungu" wa waislamu... Iran’s currency fell to a...
4 Reactions
9 Replies
743 Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya...
14 Reactions
222 Replies
15K Views
Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka. Inaaminika walifariki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tukio hilo limetokea baada ya mtuhumiwa kuingia katika mgahawa huo na kuanza kuzungumza kwa sauti “Nitawaua wote humu”, muda mfupi baadaye alianza kufyatua risasi ambazo pia zimejeruhi watu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanamuziki huyo ameongeza ya mastaa waliojitoa katika mtandao huo tangu uanze kumilikiwa na Elon Musk, amedai kuwa mabadiliko hayo yatachangia taarifa potofu kusambaa kwa urahisi. Akijibu hoja...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom