International Forum

News and Stories from rest of the World
takriban watu wanane wameuawa na makumi ya wengine hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi kupiga eneo la kambi katika jimbo la Selangor nchini Malaysia, maafisa wanasema. mamlaka...
0 Reactions
1 Replies
393 Views
Putin alipokua anapiga vyanzo vya umeme kule Ukraine, hakujua na kwake sio mbali kihivyo, kwamba hakufikiki, haya. --- Another suspicious fire has started in Russia as the country struggles amid...
12 Reactions
35 Replies
3K Views
Caroline Nassoro Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana...
0 Reactions
1 Replies
563 Views
Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations. By Jack Detsch, a Pentagon and...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Uzuri bwana Ukraine hua anatoa taarifa mapema. kabla hawajaanza amsha amsh wanakwambia mjiandae kabisa. kherson khrakiv lyman. kote walitoa taarifa mapema wanakwambia kabisa Bwana tunampango wa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
5 Reactions
80 Replies
4K Views
Tuliambiwa kwamba Ukraine akithubutu kulipua ndani ya Urusi ndio itakua mwisho wake, haya, imekua kawaida sasa kwa kambi za kijeshi kulipuka mabomu ndani ya Urusi. Huyu Putin aguswe wapi ndio...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine...
1 Reactions
2 Replies
998 Views
Vladimir Putin said Wednesday that Russia is rerouting trade to "reliable international partners" such as Brazil, India, China and South Africa as the West attempts to sever economic ties. "We...
8 Reactions
92 Replies
5K Views
Ni baada ya Ripoti ya Shirika la kutetea Haki Za Binadamu la Amnesty International kubaini kuwa wahamiaji 37 badala ya 23 walifariki katika mpaka wa Melilla walipokuwa wakijaribu kuvuka kutoka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Takriban watu 22 wamefariki na wengine kadhaa wamelazwa hospitali nchini India baada ya kunywa pombe yenye sumu. Vifo hivyo vimetokea katika vijiji viwili kwenye jimbo la Bihar, ambapo uuzaji na...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Covid-19 inaendelea kusahaulika wakati uchunguzi ukibaini hila kwenye mlipuko ulioikumba Dunia.
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Mtoto wa mwandishi Jamal Khashoggi, amesema wamewasamehe wale wote waliohusika na mauaji ya baba yao katika ubalozi wa saudia nchini Uturuki October 2018. Katika taarifa aliyoitoa Salah Khashoggi...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
OIC Secretary-General Hissein Brahim Taha was on a three-day visit to Pakistan-occupied Kashmir from December 10. SRONGLY condemned the Organisation of Islamic Cooperation (OIC) saying the outfit...
0 Reactions
0 Replies
288 Views
Picha: Raiswa Chile Sebastian Pinera Baraza la senate la Chile limepinga mchakato ulioanzishwa na upinzani uliolenga kumuondoa madarakani Rais Sebastian Pinera. Upinzani ulitaka Pinera...
2 Reactions
115 Replies
7K Views
Kombe la Dunia 2022: Mwanahabari mkongwe wa michezo wa Marekani Grant Wahl afariki dunia nchini Qatar Mwanahabari maarufu wa kandanda kutoka Marekani amefariki dunia alipokuwa akiripoti kuhusu...
2 Reactions
123 Replies
13K Views
Family throw gender reveal party for eight-year-old trans daughter Ella Scott’s family has embraced her trans identity and thrown her a gender reveal party (Picture: Sydney Mugford / Caters News)...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Muswada huo ni mwendelezo wa Marekani kupinga mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Novemba 2022 mabosi wa FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Beyond all the misguided actions we commit and all the futile gestures we use to insist that we are independent, self-controlling beings, the overwhelming evidence reveals that we are neither. We...
1 Reactions
15 Replies
654 Views
Back
Top Bottom