International Forum

News and Stories from rest of the World
Inadaiwa endapo kama ndege za marekani zitafuta Safari zake kwenda China basi hasara watakayoipata kwa mwaka inakadiriwa kufika dola bilioni hamsini(50billion USD). Chanzo: China center, US...
0 Reactions
4 Replies
627 Views
Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini. Inadaiwa kuwa Waziri wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki...
2 Reactions
1 Replies
515 Views
Wana hasira sana kwa ambavyo wanaendelea kuuawa na mpaka sasa haieleweki nini mipango ya nchi yao na nini haswa wanachofia...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo China bado imeweka Sheria...
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Katika vita inayoendelea Kati ya taifa la URUSI na UKRAINE' mataifa ya ulaya na marekani yamekuwa yakiisaidia ukrane Kwa kulani uvamizi huo,na pia Kwa kuiwekea URUSI vikwazo vya kiuchumi. Hivyo...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Wamarekani wametengeneza virusi vipya vya corona Nov 27, 2022 06:54 UTC Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa: Chuo Kikuu cha Boston cha nchini Marekani...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya...
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira...
11 Reactions
102 Replies
7K Views
Waziri wa fedha, Samuel Tweah amesema Rais George Weah "anastahiki" posho ya kila siku ya $2,000 sawa na Tsh. 4,660,000 wakati wa safari yake ya Nje ya Nchi iliyoanza Novemba 1 hadi 23...
3 Reactions
61 Replies
3K Views
Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini...
1 Reactions
1 Replies
568 Views
Baadhi ya benki za Marekani ambazo hazitaki tena wateja kuweka akiba Benki zaomba wateja wake kuweka akiba zao kwingineko. Baadhi ya benki tayari zimeanza kukataza wateja wake kuweka pesa zao...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Base ya Marekani iliyopo Syria imeshambuliwa na makombora [emoji1787] LIVE 26 Nov, 2022 01:12 HomeWorld News Missiles strike US base in Syria – Pentagon The incident comes amid Türkiye’s...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi katika kituo kimoja huko india Wamewalaumu Panya kwa kuharibu kilo 200 za bangi iliyokuwa imetunzwa kama ushahidi wa kesi ya jinai. Mahakama ilinukuu kauli tatu za kesi zibazofanana na...
2 Reactions
13 Replies
926 Views
Imeelezwa kuwa panya hao wamekula bangi hizo zilizokamatwa kama ushahidi kutoka kwa wahalifu na kuhifadhiwa kwenye Kituo cha Polisi. Maelezo hayo yametolewa Mahakamani wakati kesi tatu za bangi...
1 Reactions
3 Replies
763 Views
Wakuu, Hili swali linanitatiza Sana. Tumeona kwenye Hizi Vita zinazoendelea, Nchi mbali mbali zikitumia mifumo ya kulinda anga na kudungua makombora. Nilichoona kweny Hizi airdefence nyingi Ni...
4 Reactions
9 Replies
814 Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesifu uhusiano "bora" na kati ya nchi yake na Uchina alipotoa kwa mara ya kwanza hotuba kwa Taifa katika jengo jipya la Bunge lenye thamani ya mamilioni ya...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom