WAKATI RUSSIA YUKO BIZE NA KISHAMBULIA MIUNDOMBINU YA UMEME NA MAJI... UKRAINE WAENDELEA KUTEMBEZA KICHAPO...WAWAFUATA RUSSIA NG'AMBO YA MTO HUKO HUKO WALIPO
It’s official: Ukrainian commandos...
Imeripotiwa kuwa Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim amemuua Jenerali wake mmoja kwa kumtupia kwenye tenki lililojaa samaki aina ya Piranha kwa tuhuma za kutaka kumpindua, inadaiwa Jenerali huyo...
Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918...
Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran.
Iran bwana...
Takwimu zimeonesha kuwa China imerekodi maambukizi mengi zaidi kuwahi kutokea tangu mlipuko wa virusi hivyo ulivyotokea, majiji ya Beijing na Guangzhou yakiwa vinara kwa walioambukizwa.
Hadi...
Ni baada ya kukamilisha hatua yake ya kukomesha uwepo wake wa kijeshi wa miaka 10 nchini humo na kuishutumu Mali kuwa na Ushirikiano na Kundi la Wagner linalosemekana kuwa mamluki wa Russia
Hatua...
Kampuni ya nishati mpya ya Ruixin iliyoko wilayani Xinfeng mjini Ganzhou mkoani Jiangxi, China imejenga kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kuzalisha megawati 30 za umeme. Seti 28 za vifaa vya...
Na Gianna Amani
Inawezekana kuwa hujui hili lakini taarifa za kihistoria zilizopo zinaeleza kuwa chai na kinywaji cha chai asili yake ni nchini China na Myanmar na jambo la kushangaza zaidi...
The M23 rebels have cut off all major supply routes for Ugandan and Kenyan goods to the city of Goma, in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC). This has caused financial losses to the two...
Katika Mkutano wa 17 wa Kilele wa Viongozi wa Kundi la Nchi 20 (G20) uliomalizika hivi karibuni nchini Indonesia, Rais Xi Jinping wa China, kwa niaba ya China, kwa mara nyingine tena, alieleza...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari akiwa na Gavana wa Benki Kuu, Godwin Emefiele wamezindua noti hizo lengo likiwa ni kuzuia uingizaji wa bidhaa za magendo na kupunguza nguvu ya ufadhili katgika...
Mamia ya polisi wamejeruhiwa huku 50 wakiuawa walipokua wanapambana kumpigania 'mungu' wa waislamu dhidi ya wananchi waliokua wanaandamana kupinga kunyanyaswa na sheria za dini.
Maandamano bado...
Mwandishi E Jean Carroll amemshtaki Rais wa Zamani, Donald Trump kwa madai ya kumbaka katika Miaka ya 1990, pia ameshtaki kwa kumkashifu baada ya kumshutumu kwa kusema uwongo alipojitokeza kuhusu...
Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa...
Huko South Korea kuna picha zimeonekana bwana kiduku akimpleka binti yake sehemu ya kurusha makombora. Wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka na samaki mkunje kabla hujamkaanga.
Mtoto huyu inaonesha...
Mahakama ya Kijeshi imetoa adhabu hiyo kwa Afisa wa Polisi aliyekutwa na hatia ya kumchoma Visu Mfanyabiashara Abdifatah Abdullahi Ali hadi kusababisha kifo chake
Hukumu imesomwa na Meja Mohamed...
Na Gianna Amani
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yanakwenda kasi, kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo duniani, binadamu wameendelea kukuna vichwa na kutafutia ufumbuzi ambao umeleta tija...
Mkuu wa jeshi la Israel amewaonya maafisa wa Marekani kwamba hivi karibuni Tehran inaweza kupata silaha za nyuklia
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Israel (IDF) Aviv Kochavi ametoa wito kwa Marekani...
Mfalme Sultan Abdullah amelazimika kumteua Kiongozi wa Upinzani Anwar Ibrahim na kuhitimisha siku 5 za mzozo wa Kisiasa uliosababishwa na Kura zenye utata wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
Uteuzi wa...
New WHO pandemic treaty which is in final stages, would overrule Constitutions of World Governments and unleash medical dictatorship around the World, warns Dr. Francis Boyle
Tuesday, November...
Utafiti wa Taasisi ya Tony Blair umebainisha kuwa kuwekwa kwa lockdown ili kupunguza kasi ya kuenea kwa virusi vya Corona, Wazazi na Walezi hawakuweza kuwapeleka Watoto wao hospitali kwa ratiba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.