Ndivyo tulivyokuwa tunapeana habari baada ya timu ya Russia kuondolewa kwenye mashindano hayo kwa kosa la kuivamia Ukraine Kijeshi, kwamba rais Putin ametangaza kuwa hakutakuwa na kombe la dunia...
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe...
Baada ya IRAN kuongelewa ivi karibuni kihusu Drone zake za Kamikaze na hivo kizua mijadara mbalimbali Duniani.. Imebidi tuje na Uzi maalumu utakaokua unaonesha Technology ya IRan ktk utengenezaji...
Tangu kuanza kutumika kwa Kamikaze drone ambazo zinatumiwa na Russia kuishambulia Ukraine na na miundombinu yake, imeibuka mijadara mbalimbali kuhusu aina hiyo ya silaha.
Licha ya kwamba Ukraine...
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.
Tulikubaliana siasa...
Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga
Zaidi ya watu 100...
KIBERA, Kenya – The Bill & Melinda Gates Foundation today announced two new grants totaling US$2 million for Kenyan HIV/AIDS prevention-focused initiatives. William H. Gates, Sr., co-chair of the...
Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington...
The United Kingdom has reiterated its support for the creation of new permanent seats in the United Nations Security Council (UNSC) for India, Germany, Japan and Brazil and also called for the...
Marekani imeona inapoteza pesa za walipakodi kwa kuifadhili Ukraine ambayo haina uwezo wowote wakuishinda Russia zaidi inazidi kuvunjwa vunjwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzuka Wanajamvi!
Sasa hivi kuna mtifuano ndani ya chama cha Republican. Trump na gengeelake wanamnyooshea kidole senator minority mitch McConnell eti ndie amesasababisha Republican kufanya vibaya...
Ni baada ya mmliki mpya wa Twitter, Elon Musk kuweka chaguo la Kura kuwataka watumiaji wa mtandao huo kuamua Donald Trump arudi au asirudi.
Ndani ya saa 24 jumla ya Kura zilizopigwa ni...
Tafsiri kutoka gazeti la ANI
Uingereza imesisitiza uungaji mkono wake wa kuundwa kwa viti vipya vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa India, Ujerumani, Japan na...
Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu....
Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones....
British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to...
Bwana Elon ameanzisha kura ya maoni kwenye mtandao wake wa Twitter akitaka maoni ya wadau kama Trump arudishwe Twitter ama lah.
Bwana Elon amesisitiza kwamba maoni ya watu, maoni ya Mungu hivyo...
Iran yasema haifungamani na upande wowote na yakana drones zake hazijatumwa Urusi....swali la msingi wanaogopa nini, ukitoa msaada kwa supapawa Urusi jiandae kwa kitakachokupata, ni dhahiri drones...
Baada ya Korea Kaskazini kurusha ICBM linaloweza kwenda kupiga kwa usahihi target ndani ya US juzi leo Marekani wamepeleka Supersonic B -1B Korea Peninsula...
The West should do its best to prevent an escalation between Russia and NATO, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday, while stressing his belief that it is necessary to continue providing...
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
Anaitwa Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, Afisa Mstaafu wa Jeshi anayehudumu kama Rais wa 2 wa Equatorial Guinea tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua na kumhukumu kifo Mjomba wake Macías Nguema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.