Maandamano yanaendelea Iran ya kupinga dhuluma za dini ya kiislamu, huku serikali ikiua wananchi, ila wakuu wa nchi wanalaumu Israel kwa yale yanayoendelea...
=====================
"Various...
Dakika 12 zilizopita
Urusi imefanya shambulizi katika mji mkuu wa Ukraine Kyiv, huku milipuko ikisikika na moshi ukionekana kupaa angani.
Majengo mawili ya makazi katika wilaya ya kati ya...
Sio pro Russia wa Kibongo tu hata Warusi wenyewe baada ya Mobilisation kutangazwa tumeshuhudia jamaa walivyokanyagana kwa kukimbilia nchi za watu Georgia tu imewapokea Warusi Laki 7 waliokimbia...
Mapema leo Asubuhi chama cha Repulican Kimefanikiwa Kushinda wingi wa viti katika Bunge la Congress na sasa Ni wazi Kwamba wana nafasi ya Kupendekeza na Kumchagua Spika wa Bunge.
Ni wazi kwamba...
Kutoka nchini Zambia, mwanaume mmoja amerudi nyumbani kwake na kumfumania mke wake wa ndoa akiwa chumbani na mwanaume mwingine. Mwanamke huyo ambaye ni mjamzito alikuwa akivunja amri ya sita na...
Spika wa 52 wa Baraza la Wawakilishi na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo akiwa kiongozi wa chama cha Democratic kwa miaka 19, ametangaza hatua hiyo baada ya kuhudumu kama Spika mara 2 kwa...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.
Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja...
Sehemu ya eneo la Hospitali ya Colchester ilifungwa kwa muda kutokana na mgonjwa kuonekana ana dalili za awali za ugonjwa huo huku akiwa na historia ya kutembelea Bara la Afrika.
Inaelezwa...
Baada ya kombora kuanguka Poland dunia nzima ilikua kwenye kihoro, kila mtu alikaa standby
panic button ikabonyezwa. Baadae ikagundulika limerushwa na Ukraine. Hali ikapoa.
Si unajua tena...
Russia imerusha kombora na kutua Poland
Two people died Tuesday afternoon after a projectile struck an area where grain was drying in Przewodów, a Polish village near the border with Ukraine...
Marekani ilijinasibu sana kuwa imeshapeleka air defense system za hali ya juu lakini bado jiji la Kiev linapata kipigo cha mbwa mwizi kila urusi ikitaka.
Ukraine has reportedly received two...
DRC hatuwezi kupata amani hata siku moja tusipo achana na hili
Ukabila hiki ni kitu ampka sasa hivi ndo kinapoteza DRC inawezekana kweli Rwanda wakawa wanachangia kuiba Mali za DRc au kuleta...
MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi...
Mahakama moja ya mjini Istanbul nchini Uturuki Jumatano imemhukumu mtu mmoja kifungo cha miaka 8,658 kwa kujihusisha na wanawake ambao hawakuwa wamejistiri vizuri aliokuwa akiwaita “paka”, chombo...
Ukraine imesema itatoa msaada wa nafaka tani 27,000 kwa Ethiopia taarifa imetolewa na Wizara ya miundombinu ya Ukraine.
Pia Ukraine imesema itatoa msaada wa tani 50,000 za ngano kwa Ethiopia na...
Mwanasiasa wa upinzani Fadel Abdelkefi amesema askari Polisi wakiwa hawana kibali chochote walimzuia kusafiri alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Carthage licha ya kuwa hana mashtaka wala kizuizi...
Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi...
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa
Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi
Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?
Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.