Wachimba migodi wawili ambao walitumia siku tisa wamenasa katika mgodi wa zinki ulioporomoka wa Korea Kusini wakiishi kwa kutumia unga wa kahawa wa papo hapo wameokolewa.
Wanaume hao, wenye umri...
Chama cha marubani nchini Kenya KALPA,kimetoa wito kwa wanachama wake kususia kazi kuanzia leo Jumamosi Novemba 5.
Taarifa iliyotiwa saini leo na katibu mkuu wa chama hicho Captain Murithi Nyaga...
Zaidi ya abiria 9,000 wamekwama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Kenya (JKIA) jijini Nairobi na katika viwanja vingine vya ndege vya kimataifa duniani kufuatia mgomo wa marubani...
Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila...
Rais wa Ukraine, Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya Ukraine kutoka mikononi mwa Urusi.
Mwanaume yupo ndani ya artillery range za Urusi na hamna kitu watafanya...
Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za...
Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic
Hawa jamaa Marekani alishachelewa kuwadhibiti mapema hii ndo funga kazi
Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu".
Hata hivyo maandamano yako pale pale.
Acourt in Iran has issued the first death sentence...
Ukisikiliza mikwara baina ya Marekani na China kuhusiana na bahari ya Pacific na vita vya kibiashara utafikiri kesho tutaamka kombora limetua Washington au Peking.
Halafu ukasikiliza mikwara ya...
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na...
Jameni wazalendo wa Ukraine wanatembeza moto hadi naumwa aki ya nani, Warusi wameona ili kupunguza kasi ya kufukuziwa, wamelipua daraja na kutoroka.
Ukrainian armed forces have retaken another...
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa.
Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo...
kumekucha tulisema vilianzia CRIMEA na vitaishia CRIMEA
Fall of Kherson brings Russian-annexed territory into range, former US commander says
Russian-annexed Crimea could soon come under...
Haya tuone kama rais atanasa kwenye mtego wenu, mlisema Urusi ametoroka ili kuwavuta Ukraina waingie kichwa kichwa kwenye mtego, fanyeni sasa.
Nakumbuka hata wakati Warusi wanaikimbia Kyev...
Kuna mjinga atasema kwamba, hata Ukraine anasaidiwa kifedha na silaha lukuki! Ni ujinga tu!
Tukumbuke, Putin ndiye aliyetoa tahadhari za taifa lolote litakalooyesha nia tu ya kuingilia mgogoro...
Tukio liko mubashara Al jazeera
Putin: Kuanzia Leo raia wa majimbo 4 ya Ukraine yaliyosaini mkataba ni " Raia wa Russia Milele" na tutawalinda kwa Nguvu zote dhidi ya yoyote atakayewasogelea!
Mwenyekiti wa Tume, Mahmood Yakuba, amesema ana wasiwasi kuhusu mashambulizi "kuongezeka" wakati nchi hiyo inapojiandaa kwa uchaguzi wa Rais unaotarajiwa kufanyika Februari, 2023
Akiongea katika...
Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona...
Marekani anaibembeleza South Korea imuuzie makombora ili akamsaidie mshirika wake anayepata kipigo kizito Toka kwa Urusi hizi ni dalili za mwanzo tu za NATO kuaibika.
US to Buy 100,000 Korean...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.