International Forum

News and Stories from rest of the World
Ndege ya kivita ya DR Congo (Sukhoi-25) leo asubuhi iliingia katika anga la Rwanda na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Rubavu Jimbo la Magharibi. Rwanda haijachukua hatua yoyote ya kijeshi, lakini...
13 Reactions
225 Replies
15K Views
Hili kuna watu ambao hawawezi kulielewa ila anacho fanya China huku Afrika katika miaka ijayo tutakuja kukijutia Mmoja alikuja usiku akatutawala Mwingine amekuja mchana anataka kututawala Sijui...
4 Reactions
9 Replies
760 Views
Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wasiofahamu, ni kwamba Nigeria inakwenda kufanya uchaguzi wake mkuu wa uraisi miezi mitatu...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
1. Kujiondoa kwa Urusi kutoka Kherson kunaipa Ukrainia udhibiti wa barabara kutoka Crimea. Kujiondoa kwa Urusi mji wa Kherson kwenye ukingo wa magharibi wa Mto Dnipro kunairuhusu ukreine kutishia...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwanza, nimejiuliza kuhusu vita ya Russia na Ukraine, kwamba pasingekuwa na mkono wa US tayari biashara ingeisha mapema sana. Saa hizi Ukraine yote ingekuwa imepambwa kwa bendera za Urusi tu...
18 Reactions
81 Replies
4K Views
System inamuogopa sana Trump, wanajua ana support kubwa sana ya wamarekani ukiachana na data zinazopikwa na cnn na ggogle aonekane hapendwi, kwa mara nyingine tena Trump kafumua mshono kajibu kwa...
2 Reactions
9 Replies
990 Views
Ukraine wanaendelea kukomboa miji iliyopigiwa kura za maoni na Warusi. Hivi yule kamanda wa Urusi tuliyeaminishwa ndiye muuaji namba moja kule Syria, mbona sijaona chochote cha ajabu kwake...
10 Reactions
112 Replies
5K Views
Madude yanaendelea kumjongea Putin, alilianzisha wenzake wanamalizia, wamehakikisha amedhoofishwa na kataifa kadogo Ukraine, sasa hivi kiuchumi anaendelea kuangukia pua, halafu Warusi wenyewe...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Watu wengi wanashindwa kupata milo mitatu ya siku, hali inayowalazimu waende kutafuta chakula kutoka katika mashirika ya wasamaria wema, jambo lililopelekea mashirika hayo kuzidiwa kutoa misaada...
2 Reactions
11 Replies
611 Views
Mamia ya wanajeshi wa Ukraine wameingia katika mji wa kimkakati wa KHERSON baada ya kuyafurusha majeshi ya Urusi ambayo yaliukalia mji huo tangu ulipotekwa miezi 8 iliyopita. Haya yanajiri baada...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeviamlu vikosi vyake kuukimbia mji wa KHERSON kabla mji huo haujazingirwa na majeshi ya Ukraine. Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi...
13 Reactions
91 Replies
5K Views
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani amesema kwamba Marekani ipo kwenye mazungumzo na Korea kusini ili kununua Maroketi laki moja kutoka Korea kusini kwa ajili ya kulipatia jeshi la Ukraine...
10 Reactions
23 Replies
1K Views
US refuses to send advanced drones to Ukraine – WSJ Officials are reportedly concerned that Gray Eagle MQ-1C deliveries may make the conflict worse The administration of US President Joe Biden...
0 Reactions
5 Replies
742 Views
Latvia ni kataifa kadogo sana jirani ya Urusi, ila mwanachama wa NATO, sasa Urusi imezoea kuparamia vitaifa majirani ila kwa wanachama wa NATO hukaa mbali au kuandika barua za kulalamika, kama...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
,Wengi Mnakumbuka Sekeseke la Juzi ambapo Marekani waliishutumu Qatar kusaidia kifedha Mitandao ya Ugaidi. Balozi mbalimbali zilifungwa na Sasa Marekani na Qatar wamesaini deal ya Kuuziana ndege...
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Wakuu hivi huu msafara wa vifaru bado tu kufika Ukraine? Mkuu MK 254 naomba utujuze please. Au Kaputin hakuwa na GPS akapotea njia .
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Kijana mmoja raia wa Nigeria ametoa mkanda wa Video Wa Ngono wa Zanele Sifua ambae ni Spika wa bunge la Jimbo la ANC Free State Nchini Nigeria. Kijana huyo amevujisha Mkanda Huo Baada ya...
19 Reactions
155 Replies
22K Views
Jameni kuwa mwanajeshi wa Urusi ni shida, kule mbele mnapigwa na kuuawa kama senene, mkirudi nyuma mnauawa na kikosi kilichobuniwa na Putin cha kuua wanaokimbia. Sidhani kama kuna miaka itakuja...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Back
Top Bottom