International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika mwezi Oktoba pekee mauzo ya gesi ya Urusi yamepanda kwa asilimia 1.1 kutoka 4.3 ya kabla yake. Wateja wakubwa wa gesi ya Urusi ni mataifa ya Ulaya karibu yote. Katika kuiunga mkono Ukraine...
2 Reactions
5 Replies
753 Views
CHINA YARUSHA MAKOMBORA KARIBU NA TAIWAN China imerusha makombora karibu na Taiwan ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kijeshi kufuatia ziara ya Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi katika kisiwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China. Akizungumza katika mahojiano ya chombo...
2 Reactions
12 Replies
877 Views
Kwa sasa Urusi hana ushawishi wowote ukanda huo, hiyo ni baada ya kuvurugwa na kataifa kadogo Ukraine.... The US-organized peace talks between Armenia and Azerbaijan in Washington come only a...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
Ili kutatua changamoto ya mfumuko wa bei nchini Marekani, Benki Kuu ya nchi hiyo inayofahamika kama “Federal Reserve” imeongeza viwango vya riba mara sita tangu mwanzoni mwa mwaka huu, ambapo...
0 Reactions
3 Replies
523 Views
Angalia yanayo endelea Congo, viongozi wanashindwa kuambiana ukweli kwamba we fulani ndio chanzo na tuna ku suspend kwa muda mpaka utie adabu, Hilo halipo kwa sababu ni jumuia zimekaaa kubebana na...
3 Reactions
4 Replies
430 Views
Familia za Watoto 70 waliofariki kutokana na Majeraha ya Figo yaliyohusishwa na dawa za kutibu kikohozi zilizotengenezwa nchini India, zimekataa fidia ya Dola za Marekani 20,000 sawa na zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
905 Views
Habari, Kulingana na mzozo uliopo kwa sasa kati ya DRC na Rwanda juu ya tuhuma za Serikali ya Reanda kuwa support waasi wa M23! Hali ya mzozo imeendelea baada ya DRC kurusha mizinga kadhaa...
7 Reactions
113 Replies
9K Views
Mwaka huu mwezi wa 6 mkuu wa kikundi cha maji maji alituma video kwenye mtandao wa Facebook akiomba raisi wa Kongo ampe vita hivyo yeye na kundi lake wakasambaratishe Rwanda kwa siku 7 tu Na...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kutumia demokrasia watu wenye sifa mbaya kiutawala na ambao wamewahi kuzitiia nchi zao kwenye mizozo wamekuwa wakirudi madarakani kwa kasi.Mmojawapo ni Benjamin Netanyahu wa Israel. Muda...
3 Reactions
15 Replies
888 Views
Wakuu habari.. Hali inazidi kuwa Tete Kati ya DR Congo na Rwanda baada ya Rais Felix Tshisekedi kuwataka Vijana waji mobilise kwenye Vikundi kwa ajili ya mapambano na Rwanda.. Source: BBC👇
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Ni drone maarufu kamikaze au suicide drone ,wapinzani walivyosikia walichukulia vitu vidogovidogo sana,genius engineer wa Russia wakajifungia waka study wakaviongezea uwezo hasa katika final...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao na makumi ya wengine wameuawa baada ya mapigano kuzuka kati ya wanajeshi wa Jamhuriya Kidemokrasia yaCongo na kundi la waasi wa M23, katika moja ya...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya rais wa Ukraine kutembelea maeneo yaliyokombolewa na kukuta makaburi ya haraiki amependekeza viongozi wa dunia wamuorodhese rais wa Urusi katika orodha ya magaidi na wanaofadhiri ugaidi...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mubarak Isa Muhammed na Muhammed Bula wamehukumiwa kuchapwa viboko 20 kila Mmoja na kulazimishwa kusafisha Mahakama kwa Siku 30, baada ya kukutwa na hatia ya kutumia Mitandao ya Kijamii kumkashifu...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40...
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Fikiria mabingwa wa riadha wawili wanaaokaribia kwelikweli wanakimbia,mmoja akapata ajali akadondoka,akavunjika mguu,akaanza kujitibu akapona lakini hakuwa kama alivyokuwa mwanzo.Kuvunjika ni...
2 Reactions
132 Replies
13K Views
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Felix Tshisekedi anatarajiwa kukutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame Nchini Angola kwa ajili ya mazungumzo kutokana na mgogoro unaoendelea baina ya...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Pape Alé Niang, ambaye anaendesha tovuti ya habari ya Dakar Matin, inayosifika kwa kuikosoa Serikali, amekamatwa kwa tuhuma za kusambaza habari zinazoweza kudhuru usalama wa nchi hiyo Vyombo vya...
0 Reactions
0 Replies
505 Views
Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa. Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom