Wanajeshi wa Marekani wamewasili nchini Ukraine katika ubarozi wa Marekani ulioko mji mkuu wa KYIV. Licha ya kutotaja idadi yake kamili,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani amesema Kuwa...
Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria.
Rais...
Pyongyang imerusha SAFU ya Makombora na ‘Artillery Shells’ kupinga kuongezwa kwa michezo ya vita kati ya Marekani na Korea Kusini wiki hii.
Marekani imeomba kufanyika kwa mkutano katika Baraza la...
Vikosi vya kijeshi vya Seoul vilisema karibu ndege 200 za jeshi la Korea Kaskazini ziligunduliwa kwenye rada zikiwa angani siku ya Ijumaa
Jeshi la Korea Kusini limesema kuwa Korea Kusini...
Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege...
Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali.
Mwanasiasa huyo...
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ametoa wito kwa China kutumia ushawishi wake kuishinikiza Urusi kukomesha vita nchini Ukraine, wakati wa mazungumzo yake na Rais Xi Jinping in Beijing.
Bwana...
Nchi zinakimbilia kupata vifaa kwa msimu wa baridi licha ya msukumo wa mataifa ya Magharibi kuachana na nishati ya Urusi
Usafirishaji wa gesi asilia (LNG) kutoka Urusi uliongezeka mnamo Oktoba...
Wabunge wa Ukraine walitupilia mbali ahadi ya Marjorie Taylor Greene, wakisema hawakilishi Warepublican wote..
Iwapo Warepublican watashinda tena Congress katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa...
Netanyahu ameshinda uchaguzi na kurejea katika wadhifa wa Waziri Mkuu wa Israel. Katika uchaguzi wa Knesset, kambi ya Waziri Mkuu wa zamani Benjamin Netanyahu ilipata wingi wa kura 64 bungeni...
L
Commodities giant Glencore (GLCNF) has been ordered to pay a record £281 million ($314 million) penalty by a UK court for bribing officials across Africa to gain access to oil.
The UK...
Salama wadau
Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani.
Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff...
Maeneo yanayozalisha injini na ‘ammunitions’ yalilengwa, Wizara ya Ulinzi inasema
Jeshi la wanaanga la Urusi limeshambulia viwanda vya roketi mashariki mwa Ukraine na kuharibu makao makuu ya...
Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina...
Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema
Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini...
Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters
Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari
Serbia lazima...
Rais Vladimir Putin amesema Urusi itajibu ikiwa NATO itapeleka Vikosi na Miundombinu katika Mataifa ya Sweden na Finland baada ya kujiunga na Muungano huo
Ameeleza, Nchi yake haina shida kama...
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa miaka 43, amethibitisha kuwa atagombea tena katika uchaguzi wa Novemba.
Makamu wa Rais, Teodoro Nguema Obiang Mangue ambaye ni...
Baada ya Urusi kupiga miundo mbinu ya maji na umeme huko Kiev. Maengineer na Mafundi wa Ukraine wanefanikiwa kurudisha umeme na Maji katika mji mzima wa Kiev.
Hayo yamesemwa na Mayor wa jiji la...
Kuna maswali wengi hujiuliza kama watoto wa Putin Rais wa Urusi wapo kwenye social media, inasemekana wanaweza wawepo kwa kutumia majina yasio kuwa yakwao kwa ajili ya usalama na wanaweza wasiwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.