Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi.
Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa...
Unyakuzi wa ubalozi wa Marekani mwaka 1979 unaonyesha kuwa nchi hiyo inaweza "kupenyeka," Ayatollah Ali Khamenei amesema.
Marekani siyo “invincible” kama inavyoweza kuonekana, Kiongozi Mkuu wa...
Who is Benyamin Netanyahu?
Born in Tel-Aviv on October 21, 1949, Benjamin Netanyahu grew up in Jerusalem. He spent his high school years in the United States, where his father, the historian...
Niende moja kwa moja kwenye mada, Tangu Alhamis kuna kundi la uhalifu mitandaoni kwa jina la Dark side wameteka bomba kuu la mafuta USA na kusababisha bunge kutunga sheria ya dharura kuruhusu...
Januari 10 mwaka 2021, mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman (MBS) alitangaza kupitia televisheni ujio wa mji wa kisasa utakao fahamika kama “The Line” utakao jengwa huko Saudi Arabia...
Moduli ya majaribio ya Mengtian ya Kituo cha Anga za Juu cha China Tiangong hivi karibuni ilirushwa angani na kuunganishwa kwa mafanikio na moduli kuu ya Tianhe. Kwa hatua hiyo, ujenzi wa Kituo...
Waziri Mkuu wa zamani wa ISRAEL, Benjamin Netanyahu anaongoza kwa asilimia 62% ya idadi ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa.
Pia tayari chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud kimeshinda idadi ya...
Mnaoishabikia Urusi muendelee kupata aibu, kataifa namba 22 kamezingua hadi basi tu.
I wish Ukraine wangepewa silaha za masafa marefu, pangenoga sana, jamaa wanajituma kama sisimizi.
Kwa ambavyo...
Nchi za Magharibi na Marekani ziko nyuma ya migogoro ya Ukraine na DR Congo. Nchi hizi zinaisaidia Ukraine kuishambulia Urusi na Rwanda kuishambulia DR Congo kwa maslahi yao.
Migogoro duniani...
DRONES ZA IRAN ZAWAKIMBIZA WAANDAMANAJI KWENYE UBALOZI WA IRAN NCHINI UKRAINE.
Waandamanaji mjini kiev waliandamana na kwenda kwenye Ubalozi wa Iran mjini humo huku wakionyesha mabango...
Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters
Belgrade will face “consequences” if it partners with Moscow, a German representative told the news agency
Germany tells Serbia to...
Leo Alhamis
Uzinduzi huo ulishindwa wakati wa utengano wa hatua ya pili, afisa wa kijeshi wa Korea Kusini aliiambia Yonhap
Korea Kaskazini imerusha kombora la masafa marefu (ICBM) kama sehemu...
Kila penye ugomvi duniani unaohusu ndugu na majirani lazima Marekani atakuwepo upande mmoja wapo wa watu hao.
Ukienda Pakistan na Afghanistan utamkuta Mmarekani,Ukienda Urusi na Ukraine ni hivyo...
Haya kumekucha Ulaya baada ya kujazwa upepo na USA sasa wanapambana misituni kuokoteza kuni kwa ajili ya kupasha nyumba hasa ikizingatiwa msimu wa baridi ndio umekaribia.
Putin anawarudisha enzi...
Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu...
Ubelgiji na Ufaransa Wamekuwa wakivuna shamba la Madini la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kulifaidi pasipo kupanda kitu.
Nchi ya Congo ni moja katika ya nchi duniani zenye utajiri mkubwa wa...
Nimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu
Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki
Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii
Na serekali ya Kongo...
By Rajeev Ramachandran Nov 2/2022
IT’S no longer a news that Cochin International Airport, one of the busiest airports in India in terms of international traffic, is running fully on solar...
Hii inaweza kuwa Hotuba yake ya Pili inayovunja Rekodi ya Hotuba yake ya Kwanza ya Munich 2007, hotuba Makini, yenye utulivu inayohitaji Utulivu kumuelewa.
Kuna Nchi zina Marais bwanaa, watu...
Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.