Wapiganaji wa Belgrade walipigana baada ya UAVs kuonekana juu ya kambi za kijeshi karibu na Kosovo
Jeshi la Serbia limetoa amri ya kuharibu mara moja ndege zozote zenye uadui katika anga ya nchi...
Iran inapitia hali ngumu sana,
Iran's currency dropped to its lowest value against the dollar on Tuesday, after weeks of nationwide unrest roiling the country. A stalemate in negotiations to...
Idadi hiyo imeongezeka kutoka 110 ilivyokuwa mwanzoni mwa Oktoba 2022 huku maambukizi yakiendelea kuongezeka kwa kasi.
Takwimu za Wizara ya Afya zimeeleza kuwa tangu kulipuka kwa ugonjwa huo...
Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini.
Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi...
Billionaire banker says he will not be associated ‘with a fascist country’ that is ‘killing innocent people daily’.
Russian billionaire Oleg Tinkov says he has decided to give up his citizenship...
Wakati ambapo zaidi ya asilimia 40 ya mji mkuu wa Kyiv ukiwa hauna umeme baada ya miundombinu yake kushambuliwa na Urusi, serikali ya Uiengereza imeweka wazi mpango wake wa kuipatia msaada wa...
Ankara bado inaitaka Stockholm kuwarejesha washukiwa inaowachukulia kuwa ni magaidi, afisa mmoja wa Uturuki amesema
Türkiye bado haiko tayari kuondoa kura yake ya turufu na kuidhinisha ombi la...
SUPER POWER WA MCHONGO
Ex-Afghan generals tell AP that Russia is recruiting US-trained troops who fled to Iran after Taliban takeover for the war in Ukraine.
Afghan special forces soldiers who...
Quote:
"On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters...
US Has Lost Global Leadership In Nuclear Power — IAEA Chief
The US is no longer the leader in the civilian nuclear energy industry, having lost its place to Russia and China, International Atomic...
Mamlaka zimegundua uwepo wa kiwanda haramu kinachotengeneza simu za Kampuni ya #AppleInc bandia katika Mji Mkuu Maputo, ambapo walinasa simu 1,165.
Kiwanda hicho kinachomilikiwa na Raia wawili wa...
Kutoka kuichukua kyiv 3days war had kuomba ihakikishiwe usalama wake.
Hii ni baada ya meli za kivita za Russia kuonekana ni Ndoige baada ya kuzama kwa Moscova na sasa imezamishwa na meli ambayo...
Wanajeshi wa kikosi maalum cha Afghanistan ambao walipigana pamoja na wanajeshi wa Marekani na kukimbilia Iran baada ya machafuko ya kujiondoa kwa MarekanI wanaajiriwa na jeshi la Russia kupigana...
Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya...
Urusi inataraji kupitisha muswada wa Marufuku yenye utata dhidi ya kueneza kile kinachoitwa "propaganda za wapenzi wa jinsia moja" inaonekana kuendelezwa kwa watu wazima wote. Hatua hiyo...
Wakati Warusi wanatumia drones za msaada wa Iran kupiga bembea za watoto wa Ukraine, ila Ukraine wanatumia drones kupiga vifaa vya kijeshi, tayari wamelipua meli moja ya kijeshi na zingine...
Putin aligoma kuruhusu melibza nafaka kutoka Ukrain, na akatishia kupiga blacksea blockade.
Sasa Meli zimetoka Chini ya escort ya Turkey Navy
Bila usumbufu wowote. Russian Navy base ilipigwa...
WAKATI NYIE MKO BIZE KUSHANGILIA KUHARIBU VYANZO VYA UMEME NA MAJI SIE TUNAENDELEA NA DOZI FLONTLINE
Kherson Region Occupants elimination Ukraine War with Russia.
The armed forces of the Russian...
Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara...
Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu....
Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.