International Forum

News and Stories from rest of the World
URUSI imepeleka taarifa ya kwamba majeshi na Serikali za Ukraine na Magharibi kuwa wana tumia satellite za kiraia kufanya shughuli za kijeshi. Wameona jambo hilo liangaliwe na kushughulikiwa...
3 Reactions
52 Replies
4K Views
Frank-Walter Steinmeier alielezea kampeni ya kijeshi ya Urusi dhidi ya Ukraine kama tukio la maji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ametangaza kwamba Moscow na Berlin sasa zinasimama...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naona Elon amedhamiria kupafanya twitter uwe uwanja fair, sio kama zamani uongozi wa watu wenye woke agenda ukiona mtu flani yupo kinyume na agenda yao wanamfungia Anaandika Trump Pongezi ziende...
17 Reactions
46 Replies
4K Views
Counselor wa Ujerumani bwana Scholz amesema Taifa lake litajitenga na kutuma silaha huko Ukraine kwa sababu 20-30% ya Wajerumani wanapinga hilo na hawataki vilevile Urusi iwekewe vikwazo. Scholz...
22 Reactions
56 Replies
4K Views
Nimeona kichapo mrusi anachotembeza huko Ukraine sio cha nchi hii Nadhan Russia kaamua kuwapelekea moto hawa jamaa mpaka washangae Nimeona Drone ikichoma mfumo wa ulinzi wa Ukraine hadi nikaduwa...
19 Reactions
93 Replies
7K Views
Nearly impossible to pronounce, Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu is a city in New Zealand and the name itself is 85 letters long. Good luck...
1 Reactions
2 Replies
429 Views
Paul Pelosi amevamiwa nyumbani kwake na mtu asiyejulikana Pelosi ni mume wa Nancy ambaye ni Spika wa bunge la Marekani Source: BBC
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Twitter Inc. sasa inamilikiwa na Elon Musk, huku vyombo vingi vya habari vikiripoti kwamba mauzo ambayo yalikuwa yakitarajiwa kwa muda mrefu yalikuwa yamefungwa rasmi. Gazeti la Wall Street...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kurusha tuhuma kwa Marekani sasa Russia rasmi yasema jeshi la maji la Uingereza ndio lilihusika na kulipua mabomba ya Gesi ya Nord stream 1 & 2 ambayo hupeleka gesi Ulaya. Taarifa hiyo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Waandamanaji nchini Czechia wamedai kujiuzulu kwa serikali yao, wakilalamikia uungaji mkono wake kwa vikwazo vya kyiv na dhidi ya Urusi. Maelfu ya maandamano dhidi ya viongozi wa nchi za EU...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Inasemekana meli za chakula hazipeleki kunako stahili bali huchepuka na kupeleka chakula hicho kwenye nchi za Ulaya. Sasa kawabania gas na tena anawabania chakula hasa ngano.
3 Reactions
7 Replies
969 Views
Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi...
2 Reactions
9 Replies
666 Views
China imeahidi kuiunga mkono Urusi inapokabiliana na nguvu ya pamoja ya nchi za Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi aliripotiwa kumwambia mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wakati wa mazungumzo...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Volodymyr Zelensky anasema Urusi imeanzisha mashambulizi zaidi ya 30 ya ndege zisizo na rubani nchini Ukraine katika muda wa siku mbili pekee. Aliongeza kuwa kwa jumla, Moscow pia imefanya...
6 Reactions
68 Replies
3K Views
Nimetafakari sana juu ya misada inayotolewa kila uchao na Marekani kwenda Ukraine, na jambo Moja limenijia kichwani, VITA YA SYRIA, tunakumbuka wakati utawala wa Assad ulivyokaribia kuporomoka...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
Published Friday, October 28, 2022 Over a year ago, I began publicly warning the world about the global famine implications of the loss of natural gas supplies for Europe. Through the Haber...
2 Reactions
2 Replies
798 Views
Zaidi ya nusu karne baadaye, inahisi kama ulimwengu umesahau masomo ya wakati huo wa ajabu katika historia ' Mnamo 1961, Amerika ilituma makombora ya masafa ya kati ya Jupiter huko Türkiye...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
ni dawa ambayo inawafanya askari au mtu yeyote anaye itumia kujiskia vizuri [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
1 Replies
843 Views
Akaunti ya rapper huyo ilifunguliwa kwenye mtandao wa kijamii, muda mfupi baada ya Elon Musk kukamilisha kuchukua kampuni hiyo. Twitter imefungua akaunti ya rapper na mjasiriamali mwenye utata...
0 Reactions
3 Replies
728 Views
Back
Top Bottom