International Forum

News and Stories from rest of the World
Wadau, Wale waliojaza form za kuomba greencard matokeo ya round ya kwanza yametoka! all the best
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Kwa sababu Warusi wamegoma kwenda kupigana kule Ukraine na kuachia wanajeshi wao kuendelea kuaawa kama nzige, serikali ya Urusi inaendelea kuwaachia mahabusu wa kila aina, vibaka, majambazi...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu. Afrika Kusini imearifu kuwa itairuhusu mashua ya kifahari ya tajiri wa Urusi iliyowekewa vikwazo kutia nanga Cape Town, SA. Chombo hicho cha baharini chenye thamani ya dola za...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Hatua hiyo inaelekea kukamilika kama iivyoahidiwa na Serikali ya Kansela, Chancellor Olaf Scholz na ikiwa itakamilika itakuwa Nchi ya pili katika Umoja wa Ulaya kuhalalisha matumizi hayo baada ya...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani? Au...
3 Reactions
8 Replies
980 Views
Ili kuepuka kupoteza maafisa wa kijeshi kwa moto unaokuja wa wazalendo wa Ukraine, imeamua kuwaondoa na kuacha wanywa gongo waliosaili juzi wajifie ili watumike kuchelewesha mapigo ya...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Baada ya kupigana vita vikali kwa zaidi ya miezi minane tofauti na walivyotegemea, inaonekana sasa Russia wanaweza kuwa tayari kutafuta muafaka wa namna ya kuweza kumaliza hivi vita. Inaonekana...
7 Reactions
54 Replies
4K Views
Mtuhumiwa huyo Ooi Chuen Wei, 37, ni Mwanaume ambaye alikuwa na utambulisho wa bandia katika mtandao huo amekutwa na hatia ya kuwadanganya wanawake na kuwashawishi wamtumie taarifa zao ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umefanyika hivi karibuni mjini Beijing. Matokeo makubwa ya kisiasa na kiitikadi yaliyopatikana kwenye mkutano huo si...
0 Reactions
0 Replies
500 Views
Urusi imelitaka baraka la usalama la umoja wa mataifa kutumia “article VI” kuunda tume ya kuchunguza uwepo wa maabara za Silaha za kibaiolojia nchini Ukrainia zinazofadhiliwa na Marekani. Moscow...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amemfuta kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba, Danielle Darlan, na kumuwekea "kizuizi cha kudumu". Agizo la Faustin Archange Touadera linakuja baada ya jaji huyo...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimejaribu kutafakari ni kitu gani ambacho kimempelekea raisi wangu Felix kuanzisha vita na M23 kwa sasa Nimekuja kutambuwa kuwa ni passion tu ya vurugo za raia ndiyo zimempekea Raisi Relix...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Nimekuwa Russia tokea mwaka 2008 hadi 2011 alafu nikaenda Peru Na baadae kurejea Russia 2013 Russia ina rasilimali nyingi sana, ardhi hakika imebarikiwa. Russia ina historia, Russia ina...
23 Reactions
91 Replies
7K Views
Kijana mwenye asili ya India Rish Sunak hatimae amefanikiwa kuwa kiongozi wa Chama cha Conservative (Torry party) nafasi itakayo mfanya kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza baada ya kuidhinishwa na...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Leo nimejaribu kuangalia historia ambayo ndio taifa kubwa katika mabara la umoja wa Kisovieti na kuangalia sababu zipi zilipelekea kuvunjika. Cha kwanza kinaonesha kuwa Urusi imejipanga muda...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
KITUO KIKUBWA CHA KUZALISHA NGUVU ZA UMEME MJINI #KIEV CHASHAMBULIWA KWA MAKOMBORA. Ukraine inatarajia kuingia gizani nchi nzima mara baada ya vituo vya kuzalisha nguvu za umeme kushambuliwa kwa...
20 Reactions
90 Replies
7K Views
UTAWALA WA Joe Biden KUMZUIA ELON MUSK KUINUNUA TWITTER. Utawala wa Biden unatarajia kumfungia Elon Musk kuinunua twitter, hatua hii inamekuja mara baada ya tajiri huyo aliyechanganya mataifa...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Rais Lazarus Chakwera amefanya maamuzi hayo kwa Lobin Lowe na Naibu Waziri Madalitso Kambauwa Wirima sababu ikiwa ni usimamizi mbovu na uzembe. Wizaŕa hiyo inashutumiwa kwa kuchelewesha...
0 Reactions
5 Replies
807 Views
Serikali ya Pakistani imetuma maafisa watatu wakuu wa usalama nchini Kenya kuchunguza mauaji ya mwanahabari Arshad Sharif yaliyotokea siku ya Jumapili. Timu hiyo inajumuisha mkurugenzi wa Shirika...
0 Reactions
8 Replies
622 Views
Back
Top Bottom