International Forum

News and Stories from rest of the World
Boris aliyekuwa mapumzikoni Visiwa vya Caribbean ameungwa mkono wa Wabunge wa Conservative, atahitaji kupata kura 100 za Wabunge hao ili aweze kuchuana na Rishi Sunak na Penny Mordaunt. Mchakato...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Putin alishangilia Sana baada ya Boris kujiuzulu ila sasa kabla ya fungate kuisha Borsi huyooo Anarudi kuwa PM.. Putin na Pro Russia wameanza kuziba vizibo. Update.. Mods futa Uzi Li Boris...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Washington. Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameitwa mbele ya Kamati ya Bunge (Capitol Hill) kuhojiwa kuhusiana na vurugu za wafuasi wake waliovamia Bunge wakipinga ushindi wa Joe Biden...
0 Reactions
3 Replies
814 Views
US nuclear industry has a Russia problem New state-funded atomic energy reactors need the type of fuel only Moscow can provide US nuclear industry has a Russia problem. US companies may fail to...
0 Reactions
5 Replies
763 Views
Serikali inaendelea kuua wananchi wake kama jitihada za kumpigania "mungu" na uislamu....japo wananchi wamechachamaa, masuala ya kidini waachiwe kila mmoja ajiamulie, sio mwanamke anauawa kisa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Zelensky alalamika kuwa Urusi yataka kupiga kiberiti Ikulu ya Ukraine. Kwa upumbavu wake anaomba eti nchi za magharibi zimtishie Putin kuwa akiipiga kiberiti ikulu ya Zelensky, nao wamagharibi...
11 Reactions
38 Replies
3K Views
Hizo wameshazijulia hamna kitu humo; mrusi akaombe teknolojia nyingine "mpya" kwa madikteta wengine - NK, then Nicaragua, Venezuela, kisha amalizie Belarus. Hope atakuwa ameshinda vita...
9 Reactions
38 Replies
3K Views
Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו AONYA UPELEKWAJI WA SILAHA ZA ISRAEL NCHINI UKRAINE. Aliyekuwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa onyo kwa Israel kutopeleka silaha nchini Ukraine...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Jeshi la nchi ya Congo DR limeonyesha uborekaji wa hali ya juu kwasasa . tangu waasi wa M23 wafanikiwe kutwaa mjii wa mpaka wa Bunagana nimekua nikifuatilia kwakaribu sana mapigano ya kila siku ya...
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Published on Friday, October 21, 2022 Much of the conversation surrounding mRNA (messenger RNA) “vaccines” centers around their impact on humans, but how about all the animals that are being...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
ENDELEENI KUSHABIKIA RUSSIA IKILIPUA SHULE, HOSPITAL, MABEMBEA YA WATOTO WAKATI UKRAINE ANAZIDI KUIPA KIPONDO RUSSIA FRONT LINE Russian forces have been driven back by an ongoing Ukrainian...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama kuna jambo linalolipa ukipatia ni game development. Basi mwaka 2012 kijana mmoja wa Vietnam aliyekuwa na umri wa miaka 25, akiwa kaanzisha kampuni yake ya kutengeneza magame ya simu ambayo...
17 Reactions
22 Replies
4K Views
Leo msikitini tumeambiwa kuwa Marekani ndio mfadhili mkuu wa vikundi vya kigaidi kama ISIS, Al qaeda, Al shabaab, Uamsho na wengineo. Je, wajuvi wa haya mambo, ni kweli? Ijumaa Karim.
8 Reactions
46 Replies
2K Views
"Kwakuwa Rais wa Congo DR amekataa Kuzungumza nasi sasa tunamuomba asitulaumu kwani sasa tutampiga na kuanza Kukamata miji yote Muhimu na asidanganywe na Wanajeshi wa nchi Mbili Viherehere...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Elite US unit ready to fight in Ukraine if conflict ‘escalates’ – CBS America’s 101st Airborne Division, deployed close to the Ukrainian border, would step in if NATO were attacked, its...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwaka 1997 Aliyekuwa raisi wa Kongo mobutu aliwahi kusema kuwa ili Kongo ipate amani inahitaji kuongozwa na raisi mzungu. Je, unafikiri moise katumbi atakuwa chaguo bora kwa wakongo mwaka 2023?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Rais Vladimir Putin ameweka sheria ya kijeshi - kwa mara ya kwanza katika historia ya Urusi ya sasa, kwa sasa sheria hiyo inatekelezwa katika eneo pekee lililotwaliwa na Moscow. Baraza la...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Nionavyo mimi ni kwamba urusi wana haki kabisa ya kufanya walichofanya, hebu fikiria leo hii warusi wangeweka muungano wa kijeshi na mexico ili wawe na uwezo wa kuweka silaha za nyuklia pale...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo. Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na...
0 Reactions
6 Replies
744 Views
Back
Top Bottom