International Forum

News and Stories from rest of the World
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano...
1 Reactions
1 Replies
444 Views
"Unyanyasaji" wa Ukraine wa ukanda wa kibinadamu ulilazimisha Moscow kusimamisha, mjumbe ameliambia Baraza la Usalama. Ukraine "ilikiuka pakubwa" makubaliano ya Istanbul juu ya mauzo ya nafaka...
0 Reactions
1 Replies
721 Views
Wakati huo huo, waendeshaji wa gridi ya umeme Ukrenergy imeanzisha mgao wa umeme katika maeneo mengi Shirika kubwa la kibinafsi la umeme nchini Ukraine, DTEK Holding, lilisema Jumatatu kwamba...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Maafisa wa serikali ya Ukraine wasema kuwa Urusi imeshambulia na kuangamiza miundombinu muhimu zaidi ikiwemo ile ya umeme, maji, na reli kwenye majiji na miji mbalimbali nchini Ukraine kote...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Baada ya Rais Felix kuingia madarakani Wakongo tumejua mengi saana kuhusu nchi yetu, mwanzo tulikuwa tunafikiri labda Congo ni nchi dhaifu saana tena saana ndo maana nchi kama Rwanda na Uganda...
15 Reactions
11 Replies
1K Views
Hilo dude hilo. missles 46 kati ya 50 zimechakazwa. zilikua zinalenga miundo mbinu na makazi ya raia
5 Reactions
15 Replies
905 Views
Wanawake hawa ni "Masista wa eneo hilo," wanaojulikana zaidi kama Watawa wa bangi. Wakiongozwa na Mtawa Kate, wanawake hao ni wanachama wa kundi linalojiita watawa wanaojitambulisha kama watetezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais wa zamani Luiz Inacio #Lula da Silva ameshinda kiti cha Urais Kwa asilimia 50.9 ya Kura zote, dhidi ya Mpinzani wake Jair Bolsonaro. Rais Lula alishindwa kugombea katika Uchaguzi uliopita wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bara la Ulaya sasa lina akiba kubwa sana ya gesi asilia tofauti na walivyotegemea hapo awali kufuatia kutiliwa ngumu na Russia ambayo imekuwa ikilipiza kisasi cha kuwekewa vikwazo na nchi za...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndio dhambi za dhuluma, unamega ardhi ya watu ila ujue hata kama miaka itapita mia lazima itakuja watoka wajukuu wako puani, Urusi baada ya kuiba Crimea ikaifanya sehemu ya nchi yake, ila...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Urusi wameonyesha walivyo desperate baada ya kushindwa kupambana kijeshi wameamua kutupa mabomu kwa raia, sasa Ukraine kupokezwa vifaa vya kuzuia hayo mabomu, mapambano yabaki baina ya wanajeshi...
10 Reactions
61 Replies
4K Views
Kuna watu watapinga na wengine watageuza huu "ukweli mchungu "kuwa 'politiksi'. Ila uzuri ni kwamba sayansi siyo siasa: sayansi ni "fact" based on "interpretation of data collected".
6 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo amesema mkanyagano ulisababisha vifo vya watazamaji tisa na maafisa wawili wa polisi wakati wa tamasha lhilo kwenye uwanja mkubwa zaidi wa michezo katika mji...
1 Reactions
2 Replies
718 Views
Takriban watu 100 wamekufa katika moja ya dhoruba mbaya zaidi zilizoikumba Ufilipino mwaka huu huku wengine kadhaa wakihofiwa kutoweka baada ya wanakijiji kukimbilia kwenye njia iliyokumbwa na...
0 Reactions
1 Replies
504 Views
Wakati vita vikiingia mwezi wa 8 mataifa ya Ulaya yaliyokuwa yakiifadhili kwa silaha nchi ya Ukraine sasa wameishiwa na silaha zao huku makampuni ya kutengeneza silaha yakisema itachukua miaka...
9 Reactions
131 Replies
7K Views
Urusi inadai imepata intelijensia kwamba Ukraine wanafanya maandalizi ya kutumia 'dirty bombs', aina mabomu hatari ambayo yanaweza kufanya maangamizi makubwa na maafa. Juzi hapa hawa hawa Urusi...
8 Reactions
62 Replies
3K Views
Takriban watu 132 wengi wako wakiwa ni Watoto, Wanawake na Wazee, wamepoteza maisha wakati daraja la waenda kwa miguu la Morbi likiporomoka katika Jimbo la Magharibi la Gujarat Mashuhuda wanasema...
1 Reactions
0 Replies
659 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Poland imetoa orodha ya fidia ambazo taifa hilo linatafuta kutoka kwa Ujerumani kwa hasara inayoonekana na isiyoonekana iliyopata wakati wa Vita vya Kidunia vya pili...
3 Reactions
5 Replies
761 Views
Back
Top Bottom