[emoji351] The results of the midterm elections in the United States:
Democrats have 48 seats in the Senate; Republicans have 49.
In the House of Representatives the Democrats won 182 seats...
Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao...
Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa.....
North Korea said on Tuesday it...
Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa!
Alikuwa na wasiwasi kuwa kama...
Maelfu ya wauguzi hao wanatarajia kufanya hivyo wakitaka waboreshewe maslahi ili kuendana na uhalisia wa gharama za maisha.
Imeelezwa kuwa ikiwa wauguzi hao wa Serikalini watafanya hivyo itakuwa...
Israel yalalamika kuwa Urusi kampatia Muajemi shehena za silaha za Marekani (Javelin na Stinger MANPAD) na Uingereza (Next generation Light Anti-tank Weapon, NLAW) ili Muajemi azichambue chambue...
Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.
urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia...
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali...
Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema majeshi yake yanasonga mbele ‘’hatua kwa hatua’’ katika eneo la kusini linalokaliwa la Kherson.
Mji wa Kherson ulitekwa na Urusi mapema katika vita na...
8-year-old boy applies for restaurant job to buy Xbox
Nash Johnson applied to be a dishwasher at Drake's in Kentucky, (Credit: Drake's)
LEXINGTON, Ky. - At only 8 years old, Nash Johnson knows...
Wamarekani wanapiga kura leo kuwachagua wabunge na maseneta, katika uchaguzi wa katikati mwa muhula wa urais wa Joe Biden.
Katika uchaguzi wa leo, viti vyote 435 katika Baraza la Wawakilishi...
Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana.....
Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control...
Kutokana na kile kinachoendelea kati ya DRC & Rwanda natabiri rais mrefu kuliko wote East Afrika kufanya ziara ya ghafla sana nchini Tanzania ili kuweka mambo sawa
Wasichana hao katika Jimbo la Zamfara wamesema waliruhusiwa kuoga mara 5 tu ndani ya miezi mitano waliyokuwa mateka na tena hawakutakiwa kutumia sabuni.
Watekaji walitishia kuwabadili wasichana...
Monday, October 31, 2022
Another leaked video has emerged to show that the World Economic Forum (WEF), led by the infamous globalist kingpin Klaus Schwab, is planning to unleash mass genocide as...
Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012.
Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu...
Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya...
Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika.
Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.