International Forum

News and Stories from rest of the World
Malkia wa Uingereza, Elizabeth II amefariki dunia akiwa na miaka 96 huku akiwa ni Kiongozi wa Kifalme aliyetawala kwa muda mrefu zaidi (miaka 70) katika historia ya Taifa hilo. Imeelezwa kuwa...
18 Reactions
502 Replies
37K Views
Mji ambao wanajeshi wa Russia walioukimbia kherson wakipokewa kwa mabusu motomoto . Kweli Ukraine kuna wanajeshi pis kali . Alaaniwe Mshenzi Putin .
1 Reactions
7 Replies
583 Views
Polisi walimkamata dereva huyo baada ya uchunguzi wa awali wa kiwango cha Ulevi kuonesha alikuwa ametumia Dawa za Kulevya. Watu 14 walionusrika kwenye ajali wamesema Dereva wa basi lilotumbukia...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Ndege hizo zilikuwa katika maonesho ya Kumbukumu ya Vita ya Pili ya Dunia (WWII) katika Jimbo la Dallas na baada ya tukio hilo zilidondoka chini na kutokea mlipuko mkubwa huku wananchi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Trump analaumiwa kwa agenda zake kukisababishia Chama chake Cha Republican kushindwa kushinda Mabunge yote Mawili (Congress & Senate). Kwa kawaida Uchaguzi wa katikati ya Mhula (Midterms...
2 Reactions
8 Replies
766 Views
Washauri wa rais huyo wa zamani wanaripotiwa kujiandaa kuzindua kampeni yake ya urais mnamo Novemba 14 Rais wa zamani Donald Trump akizungumza kwenye mkutano wa kisiasa siku ya Alhamisi huko...
1 Reactions
12 Replies
798 Views
Boris Johnson ajiondoa kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta Waziri Mkuu mpya Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Boris Johnson Jumapili alijiondoa katika kinyang'anyiro cha kumrithi Liz Truss kama...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Jana niliona taarifa Kenya wamepeleka wanajeshi 900 kulinda amani Goma. Hivi Congo kunauhitaji wa majeshi ya kulinda amani ama mazungumzo. Mbaka sasa Congo kuna majeshi yanayo linda amani...
7 Reactions
106 Replies
5K Views
Democracts wamefanikiwa kupata viti 50 vya Wabunge huku chama anachotokea Donald Trump, Republican wakibaki na viti 49. Rais Joe Biden amesema amefurahishwa sana na matokeo hayo huku akiwataka...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Most Democrats want someone other than Biden to run in 2024: Poll A new Siena College-New York Times poll highlights the US president’s dwindling popularity amid domestic and international...
1 Reactions
5 Replies
876 Views
Wakati Jeshi la Russia likiendelea kurudi nyuma chaa ajabu bado askarI wa Ukraine wanaendelea kuwashambulia bila huruma askari wa Russia wanaorudi nyuma. Russian sources are now also reporting a...
9 Reactions
122 Replies
5K Views
Tahtmini ya Utani wa hapa mtandaoni kati ya Wafuasi wa Zelensky (Pro Ukraine vs Pro Putin) Prow Ukraine ni watu poa sana, wengi ni wapenda amani wasiopenda uonevu wa kijinga Pro Ukraine...
28 Reactions
199 Replies
7K Views
Wakuu za kazi.. Donald Trump amekata tamaa na kuangukia pua kufuatia matokeo ya Uchaguzi wa Katikati ya Muhula.. Wagombea wake aliowapachika karibu wote wameangukia pua huku Democrats na Biden...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wataalam wa mambo hii siyo 'act of aggression' kweli? Katika wakati mgumu kama huu unarusha ndege ya kijeshi, sio ya kiraia. Au ndiyo Congo wameamua kutokuwa wanyonge tena? Pia sidhani kama Kagame...
10 Reactions
82 Replies
10K Views
Nahisi waliopiga kura kujiunga na urusi ni mamluki wale 70000 waliohamishwa kwenda urusi maana sasa shangwe kila kona kushangilia ushindi wa kutwaa tena kherson kutoka mikononi mwa wavamizi.
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za...
19 Reactions
164 Replies
10K Views
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS. Anasema kuwa nchi za...
11 Reactions
196 Replies
10K Views
Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu...
38 Reactions
122 Replies
7K Views
Kasi ya kusambaratika jeshi na nguvu ya Urusi ni kubwa kiasi kwamba natabiri hatoweza kuidhibiti Ukraine ijapokuwa tayari ameikamata pazuri. Hapo sioni yeyote kuwa ni shujaa katika kuleta hali...
9 Reactions
50 Replies
3K Views
Urusi imeshindwa kupambana kijeshi imehamia kwenye kupiga mabomba ya maji kwa kusudi la kutesa wananchi wa Ukraine, ila hata hivyo taratibu tu, Ukraine wanaendelea kufunga fursa zote. Madude ya...
12 Reactions
102 Replies
6K Views
Back
Top Bottom