Kombora hilo linakuja baada ya Pyongyang kuapa "na kupinga vikali" kwa shughuli za kijeshi katika eneo hilo la Penisula kati ya Marekani na washirika wake.
Korea Kaskazini imerusha kombora...
Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza...
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi...
Zuio hilo limeendana na hamasa kwa viwanda vya ndani kutakiwa kuelekeza nguvu zao kutengeneza magari ya umeme, chanzo ikiwa ni kulinda mazingira.
Takwimu zinaonesha kuna zaidi ya leseni za magari...
Ukraine wamedhamiria, wapo radhi kuendelea kulipa gharama, wanasukuma mapigo kwa kwenda mbele, kunao wanakufa ila ndio hivyo, ardhi lazima ikombolewe, wanasema mpaka sasa hamna gia itakayorudisha...
Salama wandugu,
Kwanza nianze kwa kuwapa pole wananchi wa Ukraine kumchagua mhuni kuongoza nchi kihuni huni.
Alianza kwa kupanga kulipua dirty Bomb wakamshitukia kama kelele zisingepigwa...
Baada ya kuona hakuna dalili ya vita kumalizika leo ama kesho. Maafisa wa ngazi za juu wa Marekani wanamshawishi rais Ukraine ajongelee kwenye meza ya mazungumzo iwapo rais Vladimir Putin...
Halahalaaa cameroone, habari nyepesi nyepesi toka parii na younde zinaarifu huyu ancestor presida wa kamerune yamemfika huko parii alumanusura apate lunch box ya jeneza. Hatari bini vuu.
Habari...
Mgogoro unaendelea kimya kimya baina ya Zelensk na Mkuu Majeshi ya Ukraine
LIVE
19 Nov, 2022 10:26
HomeRussia & FSU
Ukraine’s top general asked to reduce public profile – FT
The report...
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine
Oct 11, 2022 02:27 UTC
[https://media]
Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi...
Waziri wa Fedha Uingereza, Chancellor Jeremy Hunt, ameanza kukubali kile waingereza wengi walikuwa wakishuku lakini moyoni wakikikataa, kuwa kujiondoa Umoja wa Ulaya unawapiga kiuchumi kwa sana...
Kinachoonekana sasa kuchoka kufadhili Ukraini kile walichokitarajia kimeshindikana mpaka wameanza kujipiga wenyewe NATO sasa rasmi Marekani wametoa kilio Cha pili Cha kuishiwa silaha na kilio Cha...
Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa.
Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa...
Katika kile kinachoonekana kama uoga wa kushambuliwa Timu ya Taifa na Zelensk ili kuisingizia Russia wameamua kuisindikiza na fight jet F16s [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
LIVE...
Hapa jamaa sniper anaitwa Wali wa canada alikimbia sio kwa majaribio
A U.S. Army veteran was killed fighting in the southern Ukrainian region of Kherson last week as the war between Russia and...
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora...
Pichani ni Seneta Robert Francis Kennedy, pia anafahamika kama Bobby, alizaliwa katika familia ya watoto 9 ya Mzee na Balozi Joseph Kennedy Snr, yeye akiwa mtoto wa saba.
Picha ya kwanza kalaa...
Wako wanaobeza air defence za nato hazina maana mbele ya MRUSI jibu sio ukweli,air defence hizo ni hatar ndio maana Russia anarusha makombora kutokea Mbali baharini au kutokea juu Sana ambapo air...
“Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.