Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani...
UK imeanza majaribio ya kuzalisha nishati kwa kutumia Nuclear Fussion mfumo ambao umekuwepo ki majaribio tu
Nuclear fusion plant to be built at power station
Yesterday 8:08 PM
React|
Apower...
Mahakama moja nchini Rwanda Jumatano imewaachilia huru waandishi wa habari watatu ambao walikuwa wanazuiliwa jela kwa miaka minne kwa madai ya kueneza habari za uongo, kesi ambayo ilitajwa na...
Mpaka haijajulikana ni njaa ya kali ya serikali ya Rwanda au ni tabia kujipendekeza kujikomba Kwa mataifa ya Ulaya eti inataka kuwahifadhi Wakimbizi wanaokataliwa Ulaya na Nchi Tajiri kama UK na...
MWAMBA
Putin signs unification treaties for new regions
The Russian president has signed agreements on accepting four former Ukrainian territories into Russia
Putin signs unification treaties for...
Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi...
Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani.
Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The...
Umepata picha Urusi itakuwa taifa gani? Ukiwa jela zake zinaenda wasomba vijana ambao hawataki kushiriki vita ya Putin?
Huku vijana wengi walioondoka kwa kutoroka phase ya kwanza baada...
Ramzani amesema kuwa mzazi mwema huwafunza watoto wake namna ya kulinda familia, hivyo amepanga kuwapeleka wanawe mstari wa mbele.
Watoto hao hawajafikia umri unaokubalika kushiriki vita, kwani...
Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel.....
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national...
Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini
Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora...
Salama wandugu,
Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na...
Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari anasema ni kwa sababu hiyo matukio hayo sasa yanachukuliwa kuwa sehemu ya ufisadi.
Amesema anaelewa wanafunzi wanapitia changamoto nyingi vyuoni akitaja baadhi...
Felicien Kabuga (84) ni mmoja wa Rwanda anayetuhumiwa kufadhili mauaji ya Rwanda. Ameishi Asnieres-sur-Seine, Ufaransa kwa jina feki ili kuficha utambulisho akiwa na watoto wake
Kabuga...
Baada ya raisi Putin wa Urusi kutangaza rasmi kuyameza majimbo 4 ya Ukraine hapo jana,rais Joe Biden amesema Marekani haitishwi na maneno ovyo ya Urusi.
Maneno hayo anayokusudia Biden yanaweza...
Aljazeera yasema North Korea imerusha kombora hatari zaidi la balistiki lililoelekezwa Japan, na kupita juu ya Japan. Kombora hilo lililotembea kwa spidi ya March 17 (mara 17 ya spidi ya sauti)...
Wahandisi kila kukicha vichwa vinawagonga na kuwauma kila leo kutaka kujenga majengo marefu zaidi pengine na yakushangaza zaidi.
Wataalam wa mambo wana iita dunia kua is the cup of tea,(yaani...
#IRAN KILICHO NYUMA YA MAANDAMANO DHIDI YA HIJABU NCHINI IRAN.
Mnano tarehe 16 mwezi wa 9 mwaka 2022 kilitokea kifo cha bint Mahsa Amin
Amefariki akiwa katika kituo cha polis mjiji Tehran na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.