super power kashaonesha njia kifuatacho ni kumprovoke china nayeye ajae.
hii ni baada ya kuonekana jeshi la Kyiv lina fanikiwa kwa kasi ya 5G+.
sasa kwa pamoja tunaandaa mazingira ya kumuingiza...
Majeshi ya Ukraine yameingia katika mji wa kimkakati wa Lyman na Kuwazingira Wanajeshi zaidi ya Wanajeshi 3000 wa Urusi huku zaidi ya Wengine 2000 wakiukimbia mji huo kwa Miguu.
Russian troops...
Blinken asema kulipuka kwa mabomba ya gas ya Nord Stream ni nafasi nzuri Sana Kwa Marekani kwani itasaidia (Ulaya) kuondoa utegemezi wa gesi ya Urusi hivyo kudhibiti karata ya Putin kutumia gesi...
Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake.
Japo Waajemi au Persians wana...
Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Damiba aliyechukua mamlaka Januari...
Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya...
hii video imeniumiza sana Moyo sjui kwa nini.
raia wa russia akiuvunja mguu wa rafiki yake alieitwa kwenye putin Mob. ili kuepuka kwenda Ukraine.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken aliapa kwamba raia wa Ukraine wataweza kutumia silaha zilizotolewa na Marekani kurejesha eneo lao, ikiwa ni pamoja na maeneo ambayo yanatarajiwa...
Hizo sideshows za kura sijui referendum wala nini hatuna muda navyo, ngoma ni ile ile, inaishia Crimea, mlete wanywa gongo watafyekwa tu
KYIV — Less than 24 hours after Russian President Vladimir...
Donald Trump amemuita Rais wa Marekani, Joe Biden kuwa ni ‘adui wa taifa’ na akimshutumu kuwa anatumia Idara ya FBI kumdhibidi.
Amezungumza hayo katika mkutano na wafuasi wake uliofanyika...
HOTUBA YA RAIS VLADMIR PUTIN KUIDHINISHA KUTWALIWA KWA DONBASS.
Watu wa Donbass wamefanya chaguo lao, chaguo lisilo na utata, Tutawakumbuka daima mashujaa wa "Russian Spring".
Hakuna Umoja wa...
Kwa hali nayoiona hadi sasa Russia inaendeshwa kivita na amri ya mtu mmoja yaani Bunge wala wananchi hawana sauti na kitu kibaya zaidi hadi sasa wanajeshi Wa Russia hawana Morali ya Vita yaani...
America this, America that...
Mara utasikia;
Death to America, Death to Israel...
Kwa miongo na miongo utawala wa Iran una fanya kila kitu kuhakikisha wananchi wao waamini kuwa Marekani na...
A superb speech made by President Putin which is a direct rebuke to Globalists a.k.a the NWO during the signing in ceremony of an agreement signaling the invitation of four new states into the...
Wakuu Mapinduzi ya Kijeshi yametokea nchini Burkina Faso.
Kapteni Ibrahim Traore ametangaza kupitia televisheni ya taifa la nchi hiyo kuwa ameupindua utawala wa Rais Paul-Henri Damiba ambaye naye...
■Nani alijua itafika siku katika nchi ya middle east ambapo watu watasimama kidete kufanya maandamano kwa ajili ya mwanamke.
■Nani alijua itafika wakati vijana wa Iran watakataa kukanyaga...
oparation uliianza vizur tu. sikatai malengo yako yakikua donbas? Sawa lakini unapotezaje mageneral zaid ya 10+ na batalion zao kwenda kyiv?
sasa malengo yako russia sjui yalikua ni nini!!
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.