Maelfu ya WaCzech wameandamna leo kuishinikiza serikali yao ijiuzulu kutokana na kupelekeshwa na mabeberu, kuisapoti Ukraine na kuitia nchi kwenye mtanzuko mkubwa wa kukosa nishati za Urusi...
Hivi, Putin ana lipi lakuwaambia Warusi, kwamba vifo vya wanajeshi wao havikua na umuhimu wowote maana walichokua wameiba kimrejeshwa kizembe sana tena ndani ya siku chache tu...
Justin Bronk...
Rais wa Urusi Vladimir Putin atafanya hafla ya utiaji saini siku ya Ijumaa na kunyakua rasmi maeneo manne zaidi ya Ukraine baada ya kura za maoni zilizolaaniwa na Ukraine na Magharibi kuwa ni za...
Siwezi kusema Putin alimuogopa Trump lakini ni wazi alimpa heshima yake kwa kutojaribu kufurukuta kama alivyozoea.
Putin aliitwanga Georgia kipindi cha Bush, aliichukua Crimea kipindi cha Obama...
Mwaka 1848 Karl Marx na Friedrich Engels waliandika kitabu The Communist Manifesto. Kuna hatua kumi walipendekeza kwa nchi kuchukua. unakubaliana kiasi gani na mapendekezo hayo?
Kukomesha...
Na Nova Kambota Mwanaharakati,
Leo ikiwa ni miaka ni miaka kumi na moja tangu vikosi vya NATO vikiongozwa na Marekani kuungoa utawala wa rais wa zamani wa Yugoslavia Slobodan Milosevic mnamo...
°°° katika hii vita inayoendelea iliyotenganisha dunia katika sehemu mbili , kuna jambo kubwa sana la kujifunza kwa binadamu
Don't desert your home place
°°° as far as "Kuongoza taifa alo...
Jeshi la Urusi limeondoka Kupyansk, likirudi nyuma wakati wa shambulio la majeshi ya Ukreni.
Kulingana na vyanzo mbalimbali, kwa wakati huu vitengo vya jesh la Urusi vimeondolewa kabisa kutoka...
Tangu taifa la Russia lilipoanza kufanya huruma na kupeleka chakula Ulaya inaonekana nguvu za jeshi la Ukraine zimeongezeka kiasi kwamba sasa kuna taarifa katika baadhi ya maeneo yaliyoshikiliwa...
Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya...
Maandamano yanazidi kupamba Moto Iran
The intelligence chief of Iran’s Revolutionary Guards in the southeastern province of Sistan and Baluchestan was shot dead in the provincial capital Zahedan...
Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow...
it is not funny anymore tuwaombee hawa waja jaman.
Novosibirsk, russia.
Relatives of mobilized soldiers are bringing them food while the commanders are not watching.
Hey, someone tell them...
Hali ya jeshi la urusi huko Lyman ni ngumu sana. Ukraine imekomboa vijiji vyote vinavyozunguka Lyman na Lyman na Zarichne pekee ndio zimebakia kukombolewa.
Barabara kati ya miji hii ndiyo pekee...
Uingereza yalalamika kuwa Putin atayatawaza rasmi maeneo manne ya Ukraine kuwa Urusi ktk hafla nzito itayofanyika kesho ijumaa. Maeneo hayo ambayo ni asilimia 15 ya Ukraine yanahusisha Lugansk...
Ndani ya NATO kuna kinga, taifa lako likiwa ndani ya NATO, yaani Urusi hupita mbali na haiwezi ikakosea njia na kwa namna Urusi imedhihirisha udhaifu wake baada ya kushindwa kuparamia Ukraine...
Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita.
Ila kwa...
Tukirudi nyuma kidogo,
Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka...
Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita.
Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.