International Forum

News and Stories from rest of the World
Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara...
13 Reactions
197 Replies
17K Views
Mdhibiti wa Mawasiliano ametaka Kampuni ya Apple kujieleza baada ya ‘Applications’ zinazoendeshwa na Kampuni ya Teknolojia inayodhibitiwa na Serikali ya Urusi, VK, kuondolewa kwenye ‘App Store’...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA...
14 Reactions
66 Replies
6K Views
Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo...
19 Reactions
153 Replies
10K Views
My take mm nilijua wao warusi maana ya Ile kura ni kwamba wanataka kuondoka kwa heshima Ukraine. Kwa maana ya kusema wao wameondoka Ukraine sio kwa sababu vita vimewashinda ila ni kwa sababu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Marekani yawataka raia wake kuondoka nchini Urusi mara mo Ubalozi wa Marekani mjini Moscow umetoa wito kwa raia wake kuondoka mara moja nchini Urusi kutokana na usajili wa wanajeshi wa zaida...
2 Reactions
2 Replies
791 Views
Hiyo ndio hali halisi Pound sterling ikizidi kupotomoka dhidi ya US Dollar
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Muangalizi wa Kimataifa wa kura za maoni zinazoendelea huko Zaporozhye Ukraine, amesema Zelensky anafuata sera zinazofanana na zile zilizokuwa zikifuatwa na makaburu wa South Afrika, sera...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya. Mpango huu una lengo la kuongeza...
1 Reactions
6 Replies
639 Views
Alipoulizwa kwa nini serikali yake inapunguza kodi wakati huu wa kindumbwendumbwe cha uchumi kote duniani, Liz Truss, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema: ' We want people to keep more of the money...
3 Reactions
0 Replies
559 Views
Monday, September 26,2023 Europe’s economy, currencies and industries are in free fall, plunging toward “economic wasteland” status that’s less than a year away if natural gas supplies from...
3 Reactions
3 Replies
742 Views
Shughuli inaishia Crimea.... Three weeks ago, the Ukrainian army’s northeastern counteroffensive dismantled one of the Russian army’s elite units: the 1st Guards Tank Army. Now the same...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Na Yoshita Singh HUKU mzozo wa Ukraine ukiendelea kwa miezi kadhaa, siku ya Jumamosi lndia ililiambia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba iko upande wa amani na upande unaotaka mazungumzo na...
0 Reactions
1 Replies
557 Views
Watoto walibakwa, kuteswa na kuuawa pamoja na maovu mengine mengi.... Ripoti kama hii ni muhimu maana itachangia kwenye kuikandamiza Urusi, nashukuru maana hata China niliona juzi wameanza...
1 Reactions
7 Replies
866 Views
Mawakili wa Rais wa zamani wa Guinea, Moussa Dadis Camara, wanasema amepelekwa jela kabla ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kuhusika katika mauaji ya Halaiki ya Mwaka 2009. Rais huyo anakabiliwa na...
0 Reactions
2 Replies
880 Views
MARKET EXTRA Russian stocks sunk to levels not seen since 2017 on Monday, weighed by a global market selloff, threats of more sanctions and signs of continued unrest after last week’s partial...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Washington. Serikali ya marekani imeliomba bunge kupitisha ombi jipya la bajeti ya matumizi kwa ajili ya Ukraine linalokadiriwa kufikia trilion 28. Ombi hili jipya la utawala wa Biden linalenga...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni kichaa tu anayeweza kushangaa maandamano ya Iran huku akisahau Ulaya na Marekani Iran maandamano ni mambo ya kawaida tu kama ilivyo ulaya na Marekani, mnasahau kuwa Iran mafanikio yake ni...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Bilionea wa Tesla na Space X Bwana Elon Musk amesema kwamba Mtandao wa Internet wa Kimataifa utawashwa nchini Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata mawasiliano ya Kimtandao licha ya...
22 Reactions
99 Replies
6K Views
Rais wa Poland kamkaripia vikali na kumchamba kinagaubaga Rais wa kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) Bi Ursula juu ya kiburi, dharau, na kejeli zake kwa misingi ya demokrasia kufuatia kutoa komenti...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom