Ukraine yalia kilio cha kusaga meno...yasema majeshi ya Urusi yamenyeshelezea mvua za moto wa mizinga na maroketi kwenye wilaya ya Nikopol pamoja na maeneo ya Nikopol, Marhanets...
Leo ndio siku ya mwisho ya kura za maoni huko Donetsk, Lugansk, Zaporizhzhye na Kherson. Raia wa maeneo hayo wanaamua hatma yao kupitia sanduku la kura maarufu kama democracy (ma-LGBTQ...
Nchi inaendelea kuwaka moto, watu wamechoshwa na uzombi wa kidini, na badala ya serikali kutafuta suluhu imekimbilia kulaumu Marekani na Israel kama ilivyo mazoea yao.
=========
The number of...
Kutokana na uwepo wa hali mbaya sana ya upepo mkali ambapo katika siku za usoni imeonekana maeneo mbalimbali ya marekani yanaweza yakashambuliwa na upepo mkali sana (Storm) Shirika la Nasa...
Is Russia Ready to Call it Quits
A top Kremlin official has reportedly approached the West in an effort to end Russia's invasion of Ukraine, according to a leaked document.
The high ranking...
Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema...
Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi...
Habari wana JF,
Siku nyingi zimepita sijaandika mjadala(thread) humu jukwaani. Leo nimesukumwa kuandika mtazamo wangu juu ya kinachoendelea nchini Ukraine wakati huu wa vita dhidi ya uvamizi wa...
Kupanda mchongoma Kushuka ndio Ngoma. Wachinjaji walienda Machinjioni kuchinja Ngombe walipo fika wakakuta Ngombe wameshika Visu na Kuwasubiri wachinjaji.
Watafiti katika Chuo Kikuu cha YALE...
Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"
Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa...
Huko Marekani, madhara ya chanjo ya COVID 19 yameanza kujitokeza baada ya kusababisha matatizo makubwa ya moyo kwa watoto na watu wazima chini ya miaka 40.
Magonjwa ya moyo sasa yameanza kua ya...
Pole pole wingu la huzuni lilikunjuka na mbio mbio likatanda na kuigubika Omani nzima na nje yake usiku wa kuamkia Ijumaa, Januari 10, 2020. Nyakati hizo ndipo alipofariki mtawala wa nchi hiyo...
Marekani yalalamika kuwa eti Urusi imetumia droni za Iran kushambulia na kuzichoma ngome za kijeshi za Ukraine zilizopo karibu na bandari ya Odesa usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ukraine...
Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza.
Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa..
Iran has come under...
Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata...
“We finished up with the 🇷🇺professional army, and now it’s time to defeat unprofessional” - Gen. Valerii Zaluzhny, a Commander-in-Chief of the Armed forces of Ukraine.
==============
Urusi...
Russia anapiga kimya kimya hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Western wakitoa mlio wa vikwazo ujue wamechomwa na Kitu chenye kali. Marekani waliweka vikwazo vya gasi ya Urusi ili wao wauze...
Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7.
Gaidi hilo la...
Uingereza yaripoti kuwa Zelensky na maafisa wake wakuu wa usalama wamelazimika kuitisha kikao cha dharura leo jumatatu kujadili droni za Urusi zinazonasibishwa na Uajemi. Hiyo ni baada ya Urusi...
EU central bank warns ‘outlook is darkening’
The ECB has slashed growth forecasts, hiking interest rates even as it predicts inflation will climb further
EU central bank warns ‘outlook is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.