Wengi wamepokea barua wahudhurie usaili, ila kunao wasiokua na ujuzi wowote wa kijeshi amba pia wamepokea, na ni hatia kutotii hiyo amri. Kunao wameapa bora wajijeruhi hata kama itabidi kujivunga...
Mbunge wa zamani wa Ukraine ambaye alikua anaunga mkono Sera za Urusi auawa leo hii huko Kherson. Mwaka 2015 alikimbilia uhamishoni Urusi, juzi 23 September alipost video kwamba amepiga kura...
Maandamano makubwa yameripotiwa tangu Rais Vladimir Putin atangaze mpango wa kuwaandikisha watu 300,000 kupigana nchini #Ukraine huku zaidi ya watu 724 kutoka miji 32 wakishikiliwa na vyombo vya...
Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
Haijabainika alikojificha, ila kaacha amejirekodi video zake kadhaa za kutia hamasa ya watu wake wapigane Ukraine kisha akatoweka..........
Huku maandamano yakirindima nchi yote.
Vladimir Putin...
Ifike mahala sasa lazima tuelewe jinsi nchi za magharibi zilivyo wanafiki na wauaji wakubwa katika dunia hii. Wengi walishuhudia jinsi nchi za magharibi na miungano yao ikishiriki kuhatarisha...
Mara ya mwisho alionekana akiposti matangazo ya dawa za mitishamba na nguvu za kiume
Vita inaendelea Urusi ameanza mobilize askari wa akiba (kwa kiswahili Sanifu Jeshi la akiba ni "mgambo).
Na...
Kwa mtizamo wangu naona hivi vita vitaisha muda si mrefu. Kwa sababu, Putin hana tena ujanja, rais wa Uturuki na kiongozi wa india wameshamwambia achana na hivyo vita. Wanajeshi wengi wa kirusi...
Sio siri tena kwa sasa vita vya Ukraine imeshika kasi huku Russia ikipitia kipindi kigumu zaidi huenda kuliko kipindi kingine chochote tangu kuanza kwa hii vita.
Kuna dalili fulani ambazo...
Huyu ni mwamba wa Karne wale vijana wangu wasomi wa mambo ya IT wanamjua fika . He is my hero. SHETANI Putin baada kuharibu miundo mbinu ya internet Nchi Ukraine , huyu mwamba alipigiwa simu na...
Anaendelea kutapatapa hajui mchawi wake nani, anayemroga yuko wapi...
Vladimir Putin has sacked its highest ranked general in charged with managing its military’s logistics operations in Ukraine...
Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine...
My take kwa hiyo sheria inamaana wanajeshi wameisha goma kupigana vita.
Na huenda vinaweza vikatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe. au tayari vimeisha tokea.
Kwa sababu kama imefikia hatua mtu...
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
The U.S. has privately been warning the...
Vladimir Putin has fired the general charged with managing the Russian military's faltering logistics operations in Ukraine.
Gen Dmitry Bulgakov, a deputy defence minister, was removed from his...
Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake....
ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya...
Provoking Russia into a nuclear exchange while Russia has the best anti-ICBM missile systems is like getting into a gun fight with an opponent who is carrying the world’s best ballistic shield
It...
Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.