Kagame anajisifia ubabe wa kufunga makanisa elfu sita na misikiti 100!! Anaongea hayo kwa madaha wakati pumzi inayomwezesha kuishi kila dakika inatoka kwa Mungu!! Ajiandae kukutana na mkono wa...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.
Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa...
Habri wajomba nazn kunawale vpanga/wachambuzi wenye IQ zao tusaidiane hapa
1:- Kuiitisha jesh la akiba inamaana Jeshi kamili la urusi limemalzwa kwenye uwanja wa pambo..?
2:- Huu ni mwanzo wa...
Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo....
Russian soldiers...
Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali...
...mchezo mchafu unaoendeshwa na Nato huko Ukraine tulishautambua.
....tumeitisha jeshi lote la akiba.
....hivi punde, Dunia itashuhudia isichokuwa ikikitarajia.
Putin.
Nb: Ndugu zangu tuombe...
Ukraine wamedhihirisha uwezo wao wa kutumia kidogo walichopewa, vitu kama HIMARS wamevitumia vizuri na kupokeza adhabu, sasa wanapandishwa ngazi na kupewa madubwasha ya maana, kama haya hapa kazi...
Mwendazake Robert Mugabe aliwatimua Wazungu wote waliokuwa na mashamba makubwa kwa ajili ya Kilimo cha kisasa , na uchumi wako ulikuwa uko juu sana kushinda wa hapa nyumbani.
Mwendazake akawapa...
Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na janga la UVIKO-19, Marekani ilichapisha dola nyingi ili kuchochea uchumi. Lakini kuanzia mwaka huu, Marekani imegeuza sera ya kifedha na kuongeza viwango...
Uhamasishaji wa kijeshi Urusi na kura za haraka za maoni katika maeneo yanayokaliwa mashariki mwa Ukraine ni ishara za udhaifu.
Putin amekosea; gharama wanalipa maelfu ya Warusi kwa maisha yao...
Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi.
Kura hizo...
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na...
Mpaka sasa wamekamatwa 525 kwenye maandamano ya kupinga hiki anachokiita "mobilization" ya Warusi kwenda kupigana na kainchi ka-Ukraine...
Several hundred people have been detained across Russia...
Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki.
Vita...
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti...
Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola.
Ifahamike, kundi la...
21 September 2022
Pretoria, Republic of South Africa
Former President Thabo Mbeki says the country has an enormous leadership challenge and pointed to Eskom as one of the institutions affected...
Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje....
An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in...
Police dashcam footage shows witnesses rushing to assist a female officer, who was involved in a physical confrontation with a 64-year-old man during a traffic stop.
Chanzo: CNN
========...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.