International Forum

News and Stories from rest of the World
Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo...... A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Guys nimeshindwa kujizuia na nimeona why not have it here in SIASA after all he has proved kuwa wazee muda wao umekwisha and whats more? I have a friend ambaye ame camp na team OBAMA in New...
0 Reactions
8K Replies
612K Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake ya jioni kwamba shambulio la kombora kwenye bwawa la Krivoy Rog halitaokoa ari ya wanajeshi wa Urusi. "Waligundua kuwa amri ya Urusi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo! Wapo viongozi walioalikwa rasmi...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea..... Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer. Belogorovka is the...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana Kainchi ka Ukraine kwenye hii...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanajeshi wa Eritrea wamefanya mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, msemaji wa kundi la waasi la Tigrayan, TPLF, amesema. Mjumbe wa Marekani alisema kuwa Marekani inafahamu...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
DESTURI. Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao. Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kila siku tunasema humu hakuna taifa lenye nguvu kiuchumi na Kijeshi kuizidi USA kwa sasa. Wakati Marais wengine kutoka mataifa mbali mbali wakipakiwa kwenye karandiga ya Bus kama wakazi wa Dar...
19 Reactions
74 Replies
6K Views
Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town. IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine...
7 Reactions
5 Replies
2K Views
WACHINJAJI Walienda machinjion kuchinja Ngombe. walipo fika machinjion wakawakuta Ngombe wameshika Visu wanawasubiri wachinjaji. Twende kazi sasa...
3 Reactions
4 Replies
740 Views
MTAZAMO WETU KATIKA MSIBA WA MALKIA ELIZABETH II PALE UINGEREZA. Ni takribani wiki mbili zimetimia tangu dunia iwe katika fukuto la msiba wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyefariki mwezi...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula TUESDAY SEPTEMBER 20 2022 Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda...
8 Reactions
3 Replies
2K Views
habari zenu na poleni na majukum. Haita chukua mda mrefu sana lakini itakua kati ya mwezi wa kumi 2022 hadi mwanzoni mwa mwaka 2023. Kinu cha nyuklia kitapigwa makombora janga la mionzi litaenea...
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Tuwekeni ushabiki pembeni. Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha. Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe...
16 Reactions
80 Replies
5K Views
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa. Alisema mtazamo wake...
1 Reactions
2 Replies
609 Views
Wazalendo wa Ukraine waendelea na mashambulizi makali, wamelipua ngome ya Urusi iliyokua na ghala kadhaa za silaha, na wanajeshi na ndege na zana zingine nyingi, Warusi walikua wamejichimbia...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa ambavyo Ukraine wanatembeza kichapo, sasa hivi chochote cha Mrusi inabidi kufichwa mbali, wametorosha nyambizi zilizokua black sea. ============= A Ukrainian strike on a village in the...
5 Reactions
6 Replies
908 Views
Back
Top Bottom