International Forum

News and Stories from rest of the World
😂😂😂😂mkome shenzi kuleta kingereza kingi humu jukwaani. Kujiona wasomi shobo kibao
4 Reactions
3 Replies
384 Views
Warusi waliokimbia mapambano waliungana na wenzao na kujichimbia upande wa pili wa mto Oskil na kusuburi, ghafla wazalendo wa Ukraine wakawasili kama kawaida kishujaa na kufyatua kila kitu hadi...
10 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais Joe Biden ametangaza kumalizika kwa maambukizi ya UVIKO-19 Nchini Marekani licha ya ripoti kadhaa kudai kuwa kuna Waathirika wapya wa ugonjwa huo wanaongezeka. Anasema "Maambukizi hakuna na...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
KKutoka kwa Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby wakati wa ibada ya mazishi: Aliwaambia waliohudhuria mazishi ya Malkia kwamba huzuni iliyowapata wengi imetokana na "maisha ya UKARIMU na...
4 Reactions
15 Replies
908 Views
Shirika la Misaada la Uingereza la Who is Hussain limeingia katika Rekodi ya Dunia kwa kuandaa idadi kubwa zaidi ya uchangiaji damu kwa siku. Tukio hilo lililofanywa na Social Justice Charity...
2 Reactions
0 Replies
450 Views
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo Katika Ripoti hiyo...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Pili Mwinyi China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni...
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa. Licha ya...
0 Reactions
6 Replies
622 Views
Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China. Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda...
0 Reactions
4 Replies
722 Views
Afrika tutafika tu na kuwa masupapawa, tuendelee hivi hivi... Thousands of bare-breasted maidens will on Saturday dance before the new king of South Africa's Zulu nation, defying criticism of...
10 Reactions
42 Replies
6K Views
Hivyo ndivyo unavyoweza kuutafsiri msimamo wa Biden kuhusiana na kitisho cha Urusi kutumia silaha za Nyukilia Ukraine. Endapo Putin atajaribu kutumia Nyukilia ndiyo utakuwa mwisho wa wake. Kauli...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Huyu ndio kiongozi anayejitambua 👇 With my wife Mutinta, we’ve arrived in New York for 77th Session of #UNGA   . While here, we will illustrate how #Zambia is determined to be an economic centre...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Rais Evariste Ndayishimiye amewafuta kazi Waziri Mkuu Alain Bunyoni na Msaidizi wake Mkuu bila ya kutoa sababu za hatua hiyo baada ya hotuba ya kuonya kuhusu njama ya "mapinduzi" dhidi ya Serikali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamaa wamefukuzia hadi mpakani, wamewehuka, nchi wanaikomboa, wanajitoa mhanga wa kufa afe wa kubaki aendeleze kizazi. Supapawa aliingia cha kike kwenye huu ugomvi maana wanajeshi wake wanapoteana...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukraine claims missile hit area near nuclear power plant Screenshot from a video published by Vladimir Zelensky's social media A missile has hit a location in Ukraine’s Nikolaev Region close to...
6 Reactions
5 Replies
997 Views
Queen Elizabeth has been accused of mental slavery in Jamaica given her status as the head of state. This accusation has been made in a 2021 Vox documentary under the name Royalty, Explained...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Machi 22, wanaharakati wa #Jamaica walikusanyika katika Ubalozi wa #Uingereza na kuimba nyimbo za kuitaka nchi hiyo iombe radhi na kulipa fidia kutokana na Utumwa. Mtoto wa Mfalme na mkewe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Malkia Elizabeth II atafanyiwa mazishi ya kiserikali ambayo yatafanyika leo Septemba 19, 2022 katika eneo la Westminster Abbey, jijini London. Mchana wa leo, Jeneza la Malkia Elizabeth II...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu 27 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa wakiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha karantini cha Covid-19 wakati basi lao lilipopinduka katika eneo la Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China. Guizhou...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom