International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwanaume mmoja ameshtakiwa kwa kukwepa kupanga mstari wakati waombolezaji wakipita kwenye jeneza kuaga mwili wa Malkia Elizabeth II. Mwanaume huyo ambaye anatoka Tower Hamlets mashariki mwa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa alionywa lakini
1 Reactions
14 Replies
853 Views
Je, ni akili zinawarudi, je wamechoka kuwekewa Serikali za mchongo na watawala wenye maslahi binafsi, je wanatumika, vipi wamehoka kuishi au pia vita ni jadi yao, I mean wanapenda kupigana. Hizi...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Marekani na washirika wake wanatarajia kukaa kikao kujadiliana namna ya kuweza kutuma ndege za kivita Ukraine. Kumbuka hitaji Hili Ukraine wamekua wakilihitaji kila siku. Pia Ukraine anahitaji...
9 Reactions
122 Replies
7K Views
Rais wa marekani amempa onyo kali raisi wa Russia ,kwamba kamweasijaribu kutumia silaha za kemikali au maangamiz makubwa maana itageuza mwenendo mzima wa hii Vita. Kumbuka US siyo mandonga huwa...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
'Eti' ni kweli???????? In Friday's comments, Mr Putin threatened a "more serious" response if Ukrainian attacks continue. "I remind you that the Russian army isn't fighting in its entirety...
2 Reactions
6 Replies
974 Views
Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi. Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Jamaa anaishi maisha magumu sana, anasakwa kwa kila namna, wamekamatwa hadi walinzi wake wa karibu baada ya jaribio la kumuua... ======= Vladimir Putin has survived an assassination attempt...
15 Reactions
70 Replies
6K Views
Sheria pana ya mabadiliko ya watoto inayoendana na binadamu aliyestaarabika kwa kiwango cha juu katika karne ya 21 imesainiwa na Rais Hakainde Hichilema. Mojawapo ya mambo katika sheria hiyo...
3 Reactions
15 Replies
950 Views
Maswahiba wa Putin wameanza kuchoka kumsubiri, walitegemea ataparamia Ukraine kwa siku chache ila kwa ambavyo anapokea za uso, wameanza kumsema sema. India imejitokeza wazi, bado China na Iran...
2 Reactions
12 Replies
834 Views
Nimekuawa nikijiuliza sana, kwann russia anapoteza muda mwingi na kuingia gharama za vita ya muda mrefu wakati anauwezo wa kuimaliza kwa kuangusha makombora mazito na kuifuta kiev!! Wajuzi wa...
6 Reactions
138 Replies
6K Views
Mashambulizi yaUkraine ya kukabiliana na Urusi hayatabadili mipango ya Urusi – Putin Mashambulio ya hivi karibuni ya kukabiliana na vita vya Urusi hayatabadili mipango ya Urusi, Vladimir Putin...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Kwenye hili, Ukraine walifanya babkubwa yaani, waliwaacha Warusi waingie na silaha zao ndani kwa ndani, na Warusi walivyo wajinga wakaingiza silaha zao Ukraine kichwa kichwa, ghafla Ukraine...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu...
29 Reactions
132 Replies
6K Views
Hali imebadilika mwanzo wa hii operation Urusi ndio wakiionya Ukrain wanajeshi wake kujisalimisha lakini baada ya miezi 7 sasa Rais wa Ukrean Zelensky amekuja na kauli hii yeye kuwaambia...
2 Reactions
9 Replies
854 Views
Dah nimeshangaa sana hii habari ,hivi kati ya US na Germany nani kavuka mstari mwekundu .Germany kila siku analalamikiwa na zelesky kwamba amekua akitoa ahadi hewa, juzi kaahid kutoa magari 50 ...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiongozi Mkuu wa Jimbo la Luhansk linalotaka kunitenga nchini Ukraine amelishutumu Jeshi la Ukraine kwa Mlipuko ulimuua Mwendesha mashitaka Mkuu wa Jimbo Hilo. Mwendesha mashitaka huyo Pamoja na...
2 Reactions
9 Replies
846 Views
Ratu Meli Bainimarama, 36, ambaye ni Mtoto pekee wa Waziri Mkuu wa Fiji, Frank Bainimarama anakabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia alizofanya akiwa Nchini Australia. Ratu amefunguliwa...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Kiufupi HIMARS ni mfumo mzima wa kurusha maroketi pia Makombora. Ina Rocket za M31 ambazo ndo Ukraine imepewa, zina range 80km. Pia inaweza kurusha Makombora makubwa kama Army Tactical Missile...
19 Reactions
120 Replies
6K Views
Back
Top Bottom