Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati...
Vijana wazidi kuikomboa nchi yao huku rais akifanya ziara kwenye miji iliyokombolewa.
Mpaka sasa Urusi wanaendelea kushikilia kwamba hamna mji uliokombolewa, ila uhalsia wanaendelea kutoka nduki...
Rais wa Ukraine,Volodymyr Zelenskyy amewasili katika mji wa Izyum ambao hivi karibuni umekombolewa na Majeshi ya Ukraine baada ya kuvifurusha Vikosi vya Urusi vilivyouteka mji huo Mwanzoni mwa...
Serikali ya Korea Kusini imetoza faini ya jumla ya dola milioni 72 dhidi ya Google na Meta kwa kukusanya na kutumia taarifa binafsi kinyume cha sheria.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iliyo...
Siku zote Urusi amekua akikingia kifua Armenia, na yupo hadi na base pale, ila ilipobainika Urusi hana chochote cha maana kwenye medani za vita baada ya aibu anayopata Ukraine, ghafla Azerbaijan...
The International Day of Democracy provides an opportunity to review the state of democracy in the world. Democracy is as much a process as a goal, and only with the full participation of and...
Ni baadhi ya mitambo iliyotelekezwa hapo jana katika mashambulizi ya Wanajeshi wa Ukraine mpakani na Urusi ambapo Ukraine wamefanikiwa kuukombo mji wa Khakiv kwa mafanikio makubwa sana
Wameona hamna namna, itangazwe moja kwamba taifa la Urusi lipo kwenye vita rasmi dhidi ya Ukraine ili raia wahusishwe maana kinachoendelea pale Ukraine ni aibu, wanajeshi wao wanauawa huku...
Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu...
Baada ya miezi 7 kuacha kuangalia unyama wa wanajeshi wa Muuaji Putin, kuuwa watoto, wazee , kupiga hospitals, Kupiga kwenye kumbi za cinema na kuuwa watu wasiokuwa na hatia. Juzi Ijumaa nimewasha...
Tembo 170 watapigwa mnada nchini Namibia kwa kile kilichobainishwa kuwa ni adha ya kuongezeka kwa ukame huku kukishuhudiwa ongezeko kubwa la tembo nchini humo.
Hii sio mara ya kwanza Namibia...
Hawa jamaa ni hatari hii drone ndo inaenda kuwanyima Waisrael usingizi wa milele
IRAN YAZINDUA DRONES ZA KIVITA ZENYE UWEZO WA KUINGIA NDANI YA ISRAEL NA KUSHAMBULIA.
Brigadier Jeneral wa jeshi...
Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za...
Nairobi has been ranked fifth in the cities with the highest number of dollar millionaires in Africa.
A new report by London-based investment migration consultancy firm Henley & Partners shows...
Hili ni pigo kwa utawala wa kizayuni wa Israel, naona hata kombe la dunia la awamu hii siti yao itapewa Palestine na sio wao, kwahiyo kama watachagua kushiriki basi itawabidi kucheza chini ya...
Mapigano kati ya Armenia na Azerbaijan yamesababisha kuuawa kwa Wanajeshi hao, ambapo kwa Armenia waliouawa ni 49 wakati Azerbaijan ni 50.
Serikali zote mbili zimetupiana lawama juu ya mauaji...
Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme:
1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala.
2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati
3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba...
Urusi imetia adabu, leo hii wamekua wa kwanza kuhubiri amani, yawaomba Armenia na Azerbaijan waache kupigana.
=====
"We hope that the agreement reached as a result of Russian mediation on a...
Idadi kubwa ya wanajeshi wa Urusi wameona hamna tija ya kufia kwenye nchi ya watu, wameanza kutoroka huku wakifukuziwa na helkopta.
=======
Russia has deployed helicopters and weapons in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.