International Forum

News and Stories from rest of the World
Nani anawaua hawa na kwa nia gani, maana mpaka hivi vita vinaisha matajiri wengi wa Urusi watakua wamekufa sana.... Another Russian energy boss has died in mysterious circumstances after...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna namna Ukraine wameibuka kama ambao wamepagawa, fulu kujitoa mhanga aisei....mzuka hadi basi, hii imewashangaza Urusi mpaka wakapoteana, wakawa wanauawa kama nzige, imefikia hatua za kuagizwa...
9 Reactions
61 Replies
4K Views
Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano...
0 Reactions
3 Replies
710 Views
Marekani yaripoti kuwa makomandoo 60 wa Ukraine leo asubuhi wamejaribu kufanya shambulio la ghafla la kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine unaomilikiwa na majeshi ya Urusi...
14 Reactions
56 Replies
5K Views
Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Urusi ataomba msaada wapi kwingine maana msaada aliopewa na Iran umebuma.... U.S. intelligence publicly warned back in July that Tehran planned to send hundreds of the bomb-carrying drones to...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mada yangu hii, imekaa Kwa mtindo wa swali, Nauliza tuu, na kama yupo, Mingy ampe maisha marefu zaidi, Imekuwa ni muda mrefu sasa tokea Julay huko hajawahi tena kuapdate tarifa ya Uzi wake Mimi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Septemba 13, saa 3:18 usiku, China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E" angani kwa kutumia roketi ya Long March 7 kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Wenchang. Satelaiti hiyo...
1 Reactions
0 Replies
355 Views
Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Mgogoro wa Armenia na Azerbaijan upo mbioni kufufuka tena baada ya Armenia na Azerbaijan kulaumiana kufanya mashambulizi. Armenia inailaumu Azerbaijan kufanya mashambulizi ya mizinga na drones...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Jameni aliyemshauri Putin kuchokonoa nyuki sidhani kama atasamehewa...... To move away from relying on Russian energy, the European Union are increasingly turning to Africa for natural gas...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Wanajeshi wa Urusi ambao wamekuwa wakiyakimbia Mapigano makali katika mji wa Kharkiv dhidi ya Majeshi ya Ukraine wameacha nyuma mamia ya Silaha nzito Kama Vifaru(Tanks), Magari ya kurushia...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati nchi za Ulaya zikihaha kutafuta mbadala wa gesi toka Urusi nchi za Africa hasa Nigeria kufaidika baada ya mradi ambao ulikufa muda mrefu wa kujenga bomba la gesi kwenda Ulaya kufufuliwa...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Sekta ya kilimo katika bara la Afrika ni muhimu sana na inapaswa kupewa kipaumbile zaidi kwani kwa hivi sasa imekuwa ikiendelea kukua na kuleta mabadiliko mengi ya kiuchumi. Sekta hii ndio...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
Cc: let the caged bird sings Kwa mara nyingine tena jeshi la Ukraine limejaribu kufanya shambulizi la kushtukiza jana la kutaka kuukamata mtambo wa nyuklia wa Zaporizhzhia uliopo Ukraine...
9 Reactions
13 Replies
1K Views
Chapter Six The Modern Narcotics Economy While it has long been a significant illicit sector in the Afghan economy, the narcotics industry is now the largest industry in Afghanistan. Poppies...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute..... Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
WHO wameshtushwa na mlipuko wa ugonjwa wa ndui katika nchi ya Zimbabwe hasa kutokana na idadi ya vifi vilivyosababishwa na mlipuko huo. Mamlaka zimeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa huo =====...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Russia umeuvunja Moyo wangu sehemu 01 Utawala wa Western ambao unategemea uchumi wa kiunyonyaji chini ya kivuli cha demokrasia na ustaarabu wa kimangharibi. Kumezifanya nchi nyingi kuwa tegemezi...
26 Reactions
164 Replies
12K Views
Back
Top Bottom