Imekua kawaida kila panapotokea pambano, baadhi yao kwa uwoga wa kupambana wanajipiga risasi kwenye miguu ili waondolewe kwenye vita na kulipwa. Wengi hawapigani kizalendo maana huu ugomvi...
Asema ni kosa kubwa sana limefanyika na litagharimu pakubwa, haamini macho yake majeshi ya Urusi yanaacha silaha za kila aina na kutoroka.
Chechen ambao ni wapiganaji wa kiislamu walijitokeza...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine...
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa ni "wakati wa kuanza ukurasa mpya na kurudi kwenye maisha ya kawaida kwa kuondoa Sheria za Covid-19." Kupitia kwenye tangazo hilo,Waziri...
Jamaa damu zinavuja, yuko hoi....
Jameni ifike hatua Warusi watafute namna ya kumshawishi Putin aachie ujinga ili hizi aibu zipungue, ageuze majeshi yarudi nyumbani...
Ukrainian media outlets...
Russian President Vladimir Putin appointed a new general to direct the war in Ukraine as the Russian military pulled its troops from the northern part of the country following a failure to take...
Aishutumu USA kwa kuipa Ukraine silaha ambazo zinampa shida kwenye kujaribu kuparamia Ukraine.
Sasa hivi Warusi wamekwama kwenye mahandaki inakua vigumu kupiga hatua maana mziki wa HIMARS umekua...
Katika kukwepa aibu ya wameshaanza kuficha mazingira ya kifo chake ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lt. Col. Nicholas D. Goshen dies of natural causes in Eastern Europe
By Mor Daniel Mathews...
Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang.
Ripoti hiyo iliyotolewa...
A new Gazprom plant is shipping its first liquefied natural gas cargo to Greece just 6 months after the EU vowed to drastically reduce Russian gas imports
Following Russia's invasion of Ukraine...
Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo...
Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake...
Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama...
Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao.
Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki...
Msafara wa uliobeba mwili wa hayati malkia Elizabeth unaongozwa na piki piki moja tu na una magari sita tu nimehesabu
Kwanini hawa jamaa hawana uwezo wa kuwa na misafara yenye magari 200 kama...
Wadau,
Acha kabisa. Siasa za kimataifa hazina rafiki wa kudumu. Nilikua nasoma mahali. Kumbe wajerumani walikua wanaiteka USSR.
Kama kawaida mbabe USA akampatia support ya siraha kali...
Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine...
Mzuka Wanajamvi!
Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine.
Ameendelea kutahadharisha...
Hali imekua sio, hawaoni umuhimu wa kufia kwenye nchi ya watu.....
Russian troops are reportedly abandoning their positions in Kharkiv amid reports of a Ukrainian counteroffensive in the...
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky amesema kuwa mzozo kati ya nchi yake na Urusi hautamalizika hadi pale rasi ya Crimea katika Bahari Nyeusi, ambayo ilikwapuliwa na Moscow, itakapokombolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.