Ameamua liwalo na liwe, ila hatokwenda kupigana kwenye vita visivyokua na tija au maslahi ya nchi...
=========
A Russian man shot the head of a local military draft committee in Siberia on...
Kumekuwa na mwamko mkubwa wa vijana mitaani kupinga Putin na vita yake Ukraine ambako kumesababisha ugumu wa maisha kwa warusi.Vijana wamekuwa waandamana maeneo mbalimbali kupinga
Putin kaona...
Kama ambavyo imekua desturi sasa, Toyota ni mojawapo wa makampuni ambayo yamehama Urusi rasmi, nchi inaendelea kutumbukia kwenye shimo kiuchumi, huku Putin akikusanya wanywa gongo wakapambane pale...
Mkilazimisha maskini wakafie Ukraine, basi na matajiri hambaki salama.
=========
Ahuge fire broke out at a Russian steel plant owned by Roman Abramovich, an ally of President Vladimir Putin...
Mshindi wa bahati nasibu ya India amesema anaelemewa sana na maombi ya misaada ya kifedha kiasi kwamba anajuta kushinda Bahati Nasibu hiyo.
Anoop, dereva wa magari kutoka jimbo la kusini la...
Wanataka ionekane kama ambao walikimbia mapigano, sio kwamba waliuawa.
Wanatumia magari yenye tanuri ya moto wa kuchoma maiti hadi majivu
========
The Russian Ministry of Defence has been...
Igweeee. Jamani huko duniani taifa linaongoza kutoa simu za kila aina ya majina na michezo ya watoto, inasemekana jeshi limempinduwa kwa makosa ambayo bado hayajatajwa. Japo za kunyapia nyapia...
Mtu mwenye silaha avamia shule na kuuwa Watu 6 na kujeruhi 20
=========
6 dead, 20 wounded in school shooting in Russia
MOSCOW (AP) — A gunman on Monday morning killed six people and wounded 20...
Putin ameamua kukusanya wanywa vodka mitaani wakapigane pale ambapo wanajeshi rasmi wa Urusi wameshindwa mpaka kutoroka mapambano......
Chaotic scenes have been shared on social media following...
Huku Ukraine wakiendelea kusubiri wanywa gongo wanaotumwa na Putin kuja kupigana kwa niaba ya wanajeshi waliokimbia mapambano, Ukraine bado wanatembeza kichapo.....
Russia suffered significant...
Washington, Serikali ya Marekali imeridhia maombi ya Austalia ya kununua makombora ya masafa marefu ya JASSM-ER yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 235 ili kuweza kukabiliana na kitisho...
Ndegevita za Urusi zimezidungua na kuziangamiza ndegevita mbili za Ukraine aina ya MiG-29 zilizokuwa zimefanyiwa modifications ili kuziwezesha kubeba makombora ya Marekani ya kutungulia rada...
Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka...
Mwanamke huyo raia wa Congo, alieleza kuwa alijitolea maisha yake yote kuwalea ndugu zake na sasa yuko tayari kuolewa iwapo atapata mwanaume.
Akizungumza katika mahojiano na AfriMax, alisema...
Russian military began sell equipment to the armed forces of Ukraine: $5,000 for Tiger Armored Vehicle, $50,000 for Tank
The russians, whom the Putin regime is driving to war in Ukraine, have the...
Mamia ya Wananchi wameandamana katika Mji Mkuu, Tunis kupinga bei ya juu na uhaba wa baadhi ya vyakula na bidhaa Muhimu kama Sukari na hivyo kuzidisha shinikizo kwa serikali ya Rais Kais Saied...
Cha ajabu, wote dini moja Somalia...kutwa kulipukiana kwa mabomu kisa wanampigania "mungu" wao.
At least 15 people were killed Sunday in an attack by the jihadist group Al Shabaab in Somalia's...
Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu.
Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa...
Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia...
Huku kukiwa na mvutano unaoongezeka, Ukraine na Urusi zimefanya mabadilishano ya wafungwa ambayo hayakutarajiwa, ikiwa ndio mpango mkubwa zaidi tangu vita kuanza.
Urusi iliwaachilia huru wafungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.