Kundi lililofanya udukuzi kwenye nchi za Amerika Kusini limetajwa tena kuhusika na udukuzi na wizi wa data, ikiwemo taarifa za ya hali ya moyo wa Rais Andres Manuel Lopez Obrador pia yaliibwa...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine.
Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba...
Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya...
Bomu hilo limelipuka baada ya mtu kujitoa mhanga katika kituo cha wanafunzi wa Chuo Kikuu waliokuwa wakijiandaa katika Mji wa Kabul wengi wao waliouawa ni wasichana.
Inadaiwa kuwa watu wengine 36...
Uingereza yakata tamaa na Putin....Yakiri kuwa Marekani+NATO (muungano wa nchi 30 dhaifu Duniani)+EU+ Ukraine hawana ubavu wa kumzuia Putin kujimilikisha rasmi asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine...
Shirika la Utangazaji la BBC limesema wafanyakazi wake takriban 400 watapoteza kazi zao kama sehemu ya programu ya kupunguza gharama za uendeshaji na kuhamia katika majukwaa ya kidijitali
BBC...
Hali ya usalama wa dunia iko hatarini kwani baada ya Marekani kuwahimiza NATO waunganishe nguvu dhidi ya Urusi kama ataivamia Ukraine, nao Urusi wamepeleka sub mbili za nyukilia karibu kabisa na...
Kiduku wa North Korea amerusha makombora mawili ya balistiki hivi punde ya kumkaribisha rasmi makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris mjini Seoul (South Korea), anayetazamiwa kufika kesho...
Wamarekani walinunua Alaska kutoka kwa WARUSI
Walinunua Louisiana kutoka kwa France. Wakachukua Hawaii, wakachukua Porto Rico.
Chezea USA wewe. Na bado anakuja kuyachukua majimbo 4 soon ampatie...
U.S. and allied intelligence agencies are stepping up efforts to detect any Russian military moves or communications that might signal that Vladimir Putin has ordered the use of nuclear weapons in...
Kama ilivyokua kwa Pelosi kuitembelea Taiwan ambapo Wachina walijibu kwa kupiga bahari kwa makombora, ndivyo imekua kwa Korea Kaskazini kuonea bahari kwa kuipiga kwa makombora kisa makamu wa rais...
"For capitalism, war and peace are business and nothing but business" Karl Liebknetcht.
Katika dunia yetu hii ambayo ubepari umeshika hatamu vita na amani vyote ni biashara kwa wakubwa, vita ni...
Confirmed:Nord Stream 1 and 2 pipelines SABOTAGED BY AMERICA as third world war looms
Tuesday, September 27, 2022
Europe’s lifeline to Russian energy has officially been severed, accelerating...
Doreen Bogdan-Martin has become the first woman to be elected as secretary-general of the International Telecommunication Union (ITU).
The ITU is the main technology agency within the UN...
Jeshi la Urusi limepeleka Nyambizi ya Nuke huko Pacific ikitokea Kamchatka kujiunga na Kundi la Pacific Fleet.[emoji635][emoji635][emoji635]
Russian Nuclear Subs Join Pacific Fleet
Footage...
Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na...
If only our politicians were this sorry! Japanese official bursts into tears and wails hysterically on live TV as he apologises for wasting public money
Ryutaro Nonomura, 47, accused of wasting...
Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8.
Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto...
Inaelezwa kuwa idadi hiyo imefikiwa ndani ya siku 11 na shutuma zikienda katika vyombo vya usalama, ambapo Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Iran (IHR) limedai nguvu kubwa inatumika kuzuia...
Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi.
Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.