International Forum

News and Stories from rest of the World
Kombora la Urusi limelipua sehemu yenye maduka makubwa katika Mji wa Kremenchuk Nchini Ukraine na kusababisha vifo vya tu kadhaa na uharibifu wa majengo. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky...
2 Reactions
84 Replies
5K Views
Tarehe 28 Juni huko Yuxi mkoani Yunnan China watu waliingia katika Jumba la Makumbusho la Urithi wa Asili wa Visukuku la Chengjiang ili kuchunguza asili ya maisha na kujionea mwujiza na mvuto wa...
2 Reactions
1 Replies
446 Views
Imefahamika kuwa zaidi ya watu milioni 6.2 wamepoteza au kuyakimbia makazi yao ndani ya Ukraine kutokana na vita inayoendelea kati ya taifa hilo na Urusi. Umoja wa Mataifa (UN) umetoa ripoti hiyo...
1 Reactions
13 Replies
674 Views
Saudia katika njia ya kuimarisha uhusiano wake na utawala dhalimu wa Israel Gazeti la Kizayuni la Globes linalochapishwa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mbavu - ambazo zimepachikwa...
4 Reactions
68 Replies
6K Views
One of Vladimir Putin’s favorite propagandists has taunted Boris Johnson to declare war on Russia while mocking him for having ‘no hint of macho' True to form, he began by falsely claiming that...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni miaka 25 sasa imepita tangu China irudishe mamlaka yake kwenye mkoa wa Hong Kong baada ya kuwa chini ya utawala wa Uingereza wa miaka 100. Ilikuwa ni Julai Mosi mwaka 1997, wakati wakosoaji...
0 Reactions
2 Replies
638 Views
Kwa mtazamo wa haraka haraka wengi tunahisi Putin ndiyo mbaya na mchokozi la hasha...hapa tatizo ni Biden... Unaanzale kulichochea taifa dogo kijeshi kupigana na taifa kubwa kijeshi? Kwanini hii...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine...
2 Reactions
12 Replies
920 Views
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal. Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Takriban watu 46, wanaoaminika kuwa wahamiaji, wamepatikana wamekufa, huku 16 wakiwemo watoto 4 wakiokolewa wakiwa na hali mbaya kwenye lori lililotelekezwa pembezoni mwa jiji la San Antonio...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
World Economic Forum’s ‘Young Global Leaders’ Is A Massive Network Of Royals, Politicians, Big Tech, Billionaires And Other ‘Elites. Through its Young Global Leaders program, the World Economic...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa...
5 Reactions
332 Replies
16K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia, Hamadi Jebali aliachiliwa huru ikiwa ni siku ya nne tangu alipokamatwa kwa tuhuma za utakatishaji fedha Pamoja na hatua hiyo bado Jaji amesema Jebali ataendelea...
0 Reactions
1 Replies
594 Views
The government of China has commenced applying the same regime change inciting tactics inside the USA that the USA has used in countries around the world. Their Chinese American Friendship centers...
1 Reactions
1 Replies
715 Views
Vikosi vya Ukraine vilivyoko Severodonetsk vimetakiwa kuondoka, kwa mujibu wa afisa wa ngazi ya juu wa eneo hilo. Mji huo ndio kitovu cha uvamizi wa Urusi huku Moscow ikijaribu kuchukua udhibiti...
21 Reactions
163 Replies
9K Views
Afisa wa Mahakama Nchini Misri anatuhumiwa kumuua mkewe ambaye ni mtangazaji wa runinga, Shaima Gamal, aliyepotea wiki tatu zilizopita, chanzo kikitajwa ni mgogoro uliokuwepo kati yao. Gamal...
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Anguko la Urusi liko pale, hali inaendelea kuwa ngumu ikizingatiwa mpaka sana imeshindwa kufunika kainchi kadogo hapo jirani yake na imeingia hasara kubwa sana ambayo jeshi lolote hapa Afrika...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Vita ya Ukraine endapo itamalizika salama nchi za Afrika zinatakiwa kupata mateso makali kwa sababu zimeonekana Kumuunga mkono dikteita Putin dhidi ya uvamizi wake kwa nchi ya Ukraine. Nchi za...
8 Reactions
123 Replies
4K Views
Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaani "NATO Response Force", uwezo wa kuhusisha wanajeshi 300,000 kwenye mapambano ndani ya muda mfupi. Hii ni baada ya kugundua kuwa Urusi ana uwezo mdogo sana kivita, mpaka sasa kainchi kadogo...
3 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom