International Forum

News and Stories from rest of the World
Waziri Martin Guzmán amejiuzulu wakati mdororo wa Kiuchumi ukiendelea kushika kasi katika Taifa hilo. Guzmán aliyehudumu tangu 2019 ameashiria kuwepo mgawanyiko ndani ya Serikali Inaripotiwa...
1 Reactions
3 Replies
718 Views
25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Visa vya Homa ya Nyani (MonkeyPox) vimeongezeka zaidi ya mara tatu katika kipindi cha wiki mbili zilizopita Barani Ulaya. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WH) Kanda ya Ulaya...
1 Reactions
1 Replies
562 Views
Maambukizi ya Virusi vya Corona yameongezeka kwa 30% Nchini Uingereza ndani ya wiki moja iliyopita Takwimu zilizotolewa na Ofisi ya Takwimu ya Taifa ya Uingereza imeonesha zaidi ya watu milioni 3...
1 Reactions
4 Replies
703 Views
Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binaadamu (ECHR) imeitaka Urusi kuzuia hukumu ya kunyongwa kwa raia wawili wa Uingereza waliohukumiwa kifo katika eneo la Mashariki mwa Ukraine. Waingereza hao Shaun...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
More than one quarter of US residents feel so estranged from their government that they feel it might “soon be necessary to take up arms” against it, a poll released on Thursday claimed. This...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
Ukraine (CNN) — Russian troops in the occupied city of Melitopol have stolen all the equipment from a farm equipment dealership — and shipped it to Chechnya, according to a Ukrainian businessman...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Tukisema Russia amemwacha US miaka kumi (10) kwenye tech mnabisha haya sasa ndugu yenu anazidi kutia aibu dunia. Kama mnakumbuka kuna taarifa zilizagaa kuwa US amefanikiwa kutest kombora la...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kufikia mwaka 2040, Uingereza ina mpango wa kuyafungia matumizi ya magari yanayotumia Mafuta ya Dizeli na Petroli kwa ajili ya kulinda afya ya jamii na mazingira kwa ujumla. Huu ni mpango wa muda...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Vikosi vya NATO vinafanya zoezi kubwa zaidi la ulinzi wa anga kwa ajili ya kujihami na kitisho cha Urusi cha kuvamia nchi wanachama kutokana na vita ya Ukraine. Putin anasubiriwa kwa hamu avamie...
9 Reactions
88 Replies
5K Views
Ukraine's military says Russian forces have left Snake Island. Ukraine's Operational Command "South” reported on June 30 that Russian troops "hastily evacuated the remnants of its garrison" and...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Rwanda imesema wanajeshi wake wawili Koplo Nkundabagenzi Elysee na Private Ntwari Gad, walitekwa nyara wakiwa doria na mashariki mwa DRC na waasi wa kundi la Democratic Forces for the Liberation...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Serikali imedai Mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulianza baada ya Wagonjwa kugusa "Vitu vya ajabu" (Alien Things). Imeripotiwa kuwa, Uchunguzi uliwabaini watu wawili waliopata maambukizi mwanzoni...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Zambia's president, Michael Sata, urges Archbishop of Canterbury: 'send more missionaries' Michael Sata, the new Zambian president, has appealed to the visiting Archbishop of Canterbury to send...
0 Reactions
2 Replies
905 Views
Rais wa Tunisia amechapisha rasimu ya katiba mpya ya nchi hiyo katika gazeti la Serikali, inayodaiwa kumuongezea mamlaka na kusema kwamba itapigiwa kura ya maoni mwezi ujao. Rasimu hiyo...
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameonya kuwa Vita kati ya Urusi na Ukraine inaweza kuendelea kwa miaka kadhaa, ikielezwa Vikosi vya Urusi vinazidisha mashambulizi dhidi ya Ukraine eneo la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
The invasion Vladimir Putin thought would last days is now in its fourth month. The Ukrainian people surprised Russia and inspired the world with their sacrifice, grit and battlefield success. The...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom