International Forum

News and Stories from rest of the World
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa tamko la kuendelea kulaani kitendo cha Urusi kuivamia Ukraine na kushawishi mataifa mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika kuipinga Urusi kwa kitendo chake cha kuivamia...
3 Reactions
89 Replies
5K Views
Waziri wa ulinzi wa Urusi sergey shoigu ametangaza rasmi kuwa jeshi la urusi kwa kushirikiana na wanamgambo wanaotaka(waliojitenga tayari) wa Luhansk na Donetsk wamefanikiwa kulikomboa jimbo la...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa...
8 Reactions
114 Replies
9K Views
Waandamanaji wamevamia Bunge la Nchi hiyo ikidaiwa wamechoma moto sehemu ya jengo hilo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika Miji mbalimbali ya Libya kupinga ukatikaji umeme, ongezeko la bei na...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimeona katika mitandao 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid, nikaona karibu vyakula vyote pendwa vimepigwa ,madongo ya kutosha, sasa najiuliza, nini watu wanakula huko? TAZAMA HII...
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022. Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Lugansk amewaambia waandishi wa habari kuhusu mipango ya kuandaa kura ya maoni Jamhuri ya Watu wa Lugansk (LPR), mojawapo ya maeneo mawili yaliyojitenga ya Donbass...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Victoria amazonica inayopandwa katika Bustani ya Mimea ya Kitropiki ya Xishuangbanna katika Akadamia ya Sayansi ya China imeingia katika kipindi bora cha kutazama maua yaliyochipuka, na kuvutia...
3 Reactions
7 Replies
730 Views
Takwimu za kila siku zinaonyesha kua idadi kubwa ya Wamarekani hawamuelewi Biden na hawaelewi nchi inakoekea. Ndani ya mwaka mmoja umaarufu wa Biden umekua ukishuka kwa kasi ya ajabu. Hii ni...
10 Reactions
74 Replies
4K Views
Mfugaji mmoja huko New Zealannd amaetozwa fine ya $50,000 kwa kpsa la kutunza ng'ombe katika mazingira yaasiyofaa na kusababisha vifa. Ilionekana kuwa ng'ombe walitunzwa katika mazingira yasiyo n...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
After heavy fighting for Lysychansk, the defence forces of Ukraine were forced to withdraw from their occupied positions and lines,’ the army general staff said. Earlier Moscow claimed it had...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa Bw Kaboré...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Reuters yaripoti kuwa Umoja wa Ulaya umeamua kuondoa vikwazo vya kuzuia mizigo ya Urusi kuingia Kaliningrad kupitia Lithuania. Hatua hiyo imejiri baada ya Urusi kuionya Lithuania kuwa itampa...
34 Reactions
84 Replies
6K Views
Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk...
19 Reactions
96 Replies
9K Views
Mji wa Bolgorod uliopo Km 40 kutoka mpaka wa urusi na Ukraine umapatwa na milipuko uliosababisha nyumba kadhaa kuharibiwa na watu kadhaa kupoyteza maisha. Kiongozi mmoja wa Urusi ameapa kuwa...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi kwani wao warusi wanashambulia nje ya Ukraine? Sasa naanza kuelewa kwanini walioishi urusi na kurudi bongo, pamoja na wale warusi wa tandahimba wana akili za mwendo Kasi, kumbe wameambukizwa...
0 Reactions
10 Replies
715 Views
Gavana wa jimbo la Belgorod nchini Urusi ameishutumu Ukraine kwa kushambulia ghala lake la mafuta katika mji huo. Vyacheslav Gladkov alisema kupitia Telegram kwamba moto mkubwa uliozuka Ijumaa...
9 Reactions
79 Replies
41K Views
Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The...
2 Reactions
8 Replies
920 Views
Back
Top Bottom