Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza...
Waziri wa Nishati, Kanchana Wijesekera amesema Taifa hilo lina Petroli ya kutosha siku isiyozidi moja kwa mahitaji ya kawaida. Wiki iliyopita, Taifa hilo linalokabiliwa na mdororo mbaya wa...
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.
Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi...
Katika muda wa wiki mbili tu, Ukraine imepoteza karibu wanajeshi 5,500, wakiwemo zaidi ya 2,000 waliouawa, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema Jumatatu alipokuwa akitoa taarifa kuhusu...
Nimeona taarifa hii ya kushangaza kwakuwa niliamini kuwa Uturuki yuko upande Urusi lakini leo hii Serikali ya Uturuki imezuia meli iliyosheheni ngano, yasemekena ngano hiyo iliibiwa Ukraine. Meli...
Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya...
DRC inaishutumu Rwanda kwa kuwaunga mkono waasi wa #M23, tuhuma ambazo Rwanda imezikanusha na imekataa ushiriki wa Jeshi la Rwanda katika kupambana na waasi hao, ambapo Rais wa Rwanda Paul Kagame...
Col. Muammar Gaddafis revolution has come to a bloody end. He was captured by the fighters of the National Transition Council and later died at the hands of his captors in what is being said...
Dolly ni kondoo jike aliyeumbwa kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya kurudufu (Clone) na Taasisi ya Utafiti ya Roslin ya Scotland na Kampuni ya teknolojia ya viumbe ya PPL Therapeutics. Kuzaliwa...
Mamlaka yenye dhamana ya kulinda Watumiaji Nchini humo imepiga marufuku Hoteli na Migahawa kuwatoza Wateja Gharama za Huduma (Service Charge) baada ya malalamiko ya wateja kulazimishwa kulipa...
Kiongozi wa Mapinduzi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litajiondoa katika mazungumzo ya Siasa yanayoendelea, na kuruhusu makundi ya Kisiasa na Kimapinduzi kuunda Serikali ya Mpito...
Source BBC: Kuwa ilikua ni ndoto ya Muasisi wa Taifa la BURUNDI Hayati Rwagaore kuunganisha Tanzania na Burundi kuwa nchi Moja.
Siri hiyo aliitoa Mwa Nyerere katika Moja ya vikao vya usuluhishi...
Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1999 nchi zilizo chini ya NATO wakiongozwa na Marekani ziliishambulia na kuiharibu vibaya sana nchi ya Serbia (wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani). Nchi za magharibi...
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADDAFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa...
Wana JF,
Ukisoma makala mengi kuhusu aliyokuwa ametuandalia Ghadafi utagundua kuwa Afrika haiwezi kuungana kujikomboabkutoka kwa mabeberu.
Mabeberu wana njia nyingi ya kutufanya tuendelee...
Kama umefuatilia angalau chache kati ya post zangu, utagundua kuna maneno huwa yanajirudia, mfano: DUNIA IMEJAA UONGO, UNACHOONA SICHO KILICHOPO, nk.
I mean what I say.
Kile ambacho dunia...
Kama utaniuliza kikukweli Rais mtawala wa kiimla lakini anakaa madarakani kwa mujibu wa katiba na bila kuivunja katiba hiyohiyo basi hapa namkubali sana Rais Putin na Waafrika tuna la kujifunza...
Jeshi limethibitisha kuondoka katika Mji wa Mashariki wa Lysychansk unaoripotiwa kuwa mikononi mwa Wanajeshi wa Urusi. Rais Volodymyr Zelensky amesema Vikosi vya Ukraine vitarejea, na silaha za...
Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi.
========
Oleg Deripaska criticizes Russia's actions
The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.