Nchi kubwa Afrika za Nigeria na Kongo ndizo zenye majeshi dhaifu Afrika yasiyo na uwezo wa kudhibiti waasi nchini mwao
Hivi Tatizo ni nini? Uchumi wao mkubwa lakini Majeshi yao madhaifu...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amemfukuza kazi Waziri wa Nyumba Michael Gove
Michael Gove alikuwa ni mtu wa mwanzo kumwambia Boris Johnson ajiuzulu kutokana na Serikali yake kuandamwa na...
After cabinet ministers Rishi Sunak and Sajid Javid resigned on Tuesday evening, several of their junior ministerial colleagues have followed suit today, leading to growing pressure on the prime...
Kijana mmeba box nikipata nafasi ya kupumzika huwa napitia sana mitandaoni si unajua huku hauli bila kazi, kilichonishangaza ni update za Vijana waliopo Tanzania wakishangilia ubabe wa Putin na...
Hakuna ubishi kuwa nchi za Magharibi zimejengwa kwa rasilimali kutoka mataifa mengine na watumwa. Mahitaji yaliyosababisha nchi za magharibi kutafuta makoloni na watumwa hayajakwisha hata kidogo...
Wakati Watu wengi wakiamini sababu kuu ya vita Ethiopia ni ukabila, Jambo hilo siyo kweli.
Sababu kuu ya vita ya Ethiopia ni maslahi mapana ya mabeberu. Hii ni baada ya kutishika na msimamo wa...
Ethiopia, leo Jumapili inatarajiwa kufua umeme kutoka kwenye Bwawa la The Grand Ethiopian Renaissance linalokabiliwa na utata lililoko katika Mto Nile.
Bwawa hilo limekuwa chanzo kikuu cha mzozo...
Binafsi nimeshindwa kuwaelewa hawa watu wanaounda Jamhuri ya Chenchya hawa watu ni kina nani ni species gani ile.
Ukiangalia vita vya Ukraine hawa jamaa wapo upande wa Mrusi wakidai wanapigania...
Nato is a laughing stock and a thing to laughing at here in africa because of russian stance and power mighty in ukraine war.
Many africans hate USA and nato because of two reasons
1. USA...
Yanayoendelea Ukraine ni somo sahihi dhidi ya dhana dhima ya Demokrasia Government of people for the people and by the people(Lincoln Abraham).
Kiuhalisia huwezi pambanisha Urusi na Ukraine kwa...
Uingereza kumbe siyo sawa na Tanzania
Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amebanwa na Wabunge wa chama chake wakimtaka Ajiuzulu
Subiri hapo hapo tutakujuza muda mfupi ujao
Boris Johnson wins a confidence vote by Tory MPs 211 to 148. It means he will stay in his job as prime minister.
The result was announced by chairman of the 1922 Committee Sir Graham Brady
-----...
Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA.
Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao.
Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi...
Marekani ikiwa chini ya utawala wa bushi ilipanga kuzipindua serikali 3 kwa wakati mfupi ,huku ikijiamini na silaha nyingi , washirika wengi, akajua kabisa angeipiga Iran, Iraq, na North Korea kwa...
Polisi nchini Nigeria wamewaokoa watu 77 wakiwemo watoto kutoka kanisa walimokuwa wamefungwa katika jimbo la Ondo kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Baadhi yao wanaaminika kuwa huko kwa miezi...
Tangu uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukrain uanze kumekuwepo baadhi ya watu ambao wamekuwa wakionja madhira ya kujitanabaisha kutofurahishwa na uvamizi huo. Wale wanaodhibitika kufanya hivyo wamekuwa...
Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine...
North America, which was once a First World region, is fast becoming a Third World wasteland, thanks to government corruption, Wall Street greed and private central banking.
Increasingly more...
Kirusi kipya "West Nile" virus kimeripotiwa huko Oklahoma ambapo visa 10 vimeripotiwa CDC, hali hii imetia hofu hasa kutokana na kuongezeka kwa ama kipindi hiki cha majira ya joto
My take...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema amefikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha kwa amani mzozo wa mpaka ambao umesababisha mapigano hivi karibuni
Mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.