Kinachoonekana baina ya Pro Russia dhidi ya Pro NATO/ USA/ Ukraine sio ushabiki Bali ni historia.
Histori inatuambia kulikua na Kambi tatu.
1) West ikiongizwa na USA UK na western wengine.
2)...
Vikosi vya anga vya Urusi vimeharibu vituo vya muda vya kuweka silaha na maghala ya risasi karibu na mji wa Artemovsk huko Donetsk, Wizara ya Ulinzi ya Urusi ilisema hapo jana ( Alhamisi).
Hadi...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ameomba radhi kwa kushiriki katika sherehe ya kunywa pombe iliyofanyika katika bustani ya ofisi yake wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya vizuizi vikali vya...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi...
We the people of Tanzania we support you in this self defense war against USA and NATO who have brought devastating outcomes to mankind globally since 19centuty we the Tanzanias we ask the Russian...
Fumio Kishida (64) ametangazwa rasmi kuwa Waziri Mkuu mpya, akichukua nafasi ya Yoshihide Suga ambaye ameachia madaraka baada ya mwaka mmoja tu ofisini.
Suga aliachia madaraka baada ya ushawishi...
Uturuki haikupakua, lakini iliachilia meli ya Urusi iliyokuwa na nafaka za Ukraine zilizoibiwa, Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ukraine iliripoti.
‘’Shukrani kwa kuingilia kati kwa mamlaka husika...
Takriban Watu Milioni 71 kutoka Nchi zinazoendelea wametumbukia katika umasikini ndani ya miezi mitatu (Tangu Machi 2022). Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP)...
Nimesikia watu wakisema bara la Africa Lina utajiri mkubwa wa rasilimali. Cha kushangaza ktk somasoma yangu naona kama hatumo kivile.
Kwenye mafuta middle east, Canada, Russia, USA, Venezuela...
Ramani ya Berlin conference 1884-85 inaonyesha mataifa yote yaliyohusika ktk kugawana I mean kupora ni USA na NATO
RUSSIA hajafanya huo uporaji, so mnaoshabikia NATO na mashoga wengine huenda...
Maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 yanaendelea kushika kasi ungereza ambapo Ofisi ya Takwimu (ONS) imesema kuwa takribani watu milioni 2.7 wamepata maambukizi.
Maambukizi hayo yameongezeka...
Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema...
Watu 9 wameripotiwa kuuawa katika kliniki baada ya kundi la watu kushambulia Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), washukiwa wa kwanza wakitajwa kuwa ni Wanamgambo wenye masimamo...
Baada ya vikosi vya jeshi la Urusi kufanikiwa kuikomboa Luhansk kutoka mikononi mwa jeshi la Ukraine; taarifa zilizopo zinaeleza kwamba vikosi vya Urusi vimeanza kuielekea Donetsk na gavana wa...
Mamlaka za Ukraine zimesema kuwa majeshi ya Urusi yamekuwa yakitumia kemikali aina ya Phosphorus kufanya mashambulizi katika maeneo kadhaa ya mapambano. Kemikali hiyo ikiwa imechanganywa na mpira...
Umoja wa Africa umezindua pasi ya kielektroniki ya chanjo ya #COVID19 , itakayoonesha uthibitisho wa mhusika kupatiwa aina fulani ya Chanjo, ambayo inanuiwa kuwezesha usafiri rahisi ndani na nje...
Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa...
Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya...
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na chombo cha habari cha NHK, Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe anatarajia kujiuzulu wadhifa huo kutokana na sababu za kiafya
Imeelezwa kuwa amekuwa anasumbuliwa na...
Their 7,500-mile range means they are capable of striking the UK or anywhere in Europe.
The tests come amid high tension with the West over the war in Ukraine, and against the backdrop of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.