Walipua ghala la silaha wanatumia mfumo wa silaha aina ya HIMARS waliopewa na Marekani, ina uwezo wa kurusha mizinga ya masafa marefu na kutoweka kimya kimya. Ukianza kujibu pale shambulizi...
Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine.
Waziri huyo aliyeshuhudia na...
Basil Rajapaksa ambaye pia ana Uraia wa Marekani amezuiwa na Maafisa wa Idara ya Uhamiaji kuondoka nje ya Sri Lanka. Bado haijafahamika alikuwa anaelekea wapi
Rajapaksa alijiuzulu nafasi ya...
Huko Japan, kuna jamaa anaitwa Sun Myung Moon huyu mtu ndiye mwanzilishi wa Kanisa liitwalo Unification Church, al-maarufu kama Moonies church.
Huyu jamaa na kanisa lake ndiye chanzo cha mauaji...
Hawa Warusi wamekua na commedies za ajabu, sijui wanatumia teknolojia gani hii ya hovyoo....
Kombora linarudisha salamu na kuua waliolifyatua.
=====
A bizarre malfunction in mid-air lead to the...
Watu watano wameuawa, wakiwemo watoto wanne ambao walichomwa moto hadi kufa, na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo, ambao pia waliteka nyara watu wengine kadhaa katika shambulio mashariki mwa...
Urusi kwa mara ya kwanza imetumia bunduki maalumu ya kunasia drones. Bunduki hiyo iitwayo Stupor ukiielekeza kwenye drone na kisha kuibonyeza kizenji, inatoa mawimbi maalumu (electromagnetic...
Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa...
[emoji298]️Iran to supply Russia with car parts and gas turbines in exchange for steel.
Iranian Industry, Mining, and Trade Minister Reza Fatemi Amin said on May 26 that Iran would use barter...
Ukishika mpini we ndio mbabe🤣🤣🤣
Twende kazi👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
"Unfortunately, Canada succumbed to pressure and decided to return the turbine to Gazprom. This is a very bad precedent for an exemption from...
Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea.
Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya...
Afrika tunaweza
Afrika kwangu ndiyo bara pekee likifanikiwa ndo tutakombowa nchi nyingine maskini kwenye mabara mengine.
Haya ya kina Urusi sijui Marekani wote hawa wanapambana kwasababu ya...
Utajiri wa binti wa rais wa Angola
Isabel Dos Santos ni binti wa kwanza wa Rais Jose Eduardo Dos Santos wa Angola na anamiliki utajiri wa kiasi dola bilioni 3.2 za Kimarekani, unaomfanya kuwa...
Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos yuko katika hali mahututi hospitalini Jijini Barcelona Nchini Hispania, licha ya kuwa ugonjwa unaomsumbua haujawekwa wazi.
Dos Santos, 79...
Watu wenye silaha wameshambulia na kuua watu 14 mapema leo, ikielezwa 12 walifariki papo hapo na wawili walipoteza maisha baada ya kufikishwa Hospitalini kwa matibabu. Vilevile, watu wengine 10...
Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa...
José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79
Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola...
Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa...
EU+NATO washindwa tena ktk kutekeleza vikwazo walivyokubaliana na kuviweka wao wenyewe juu ya kuminya matumizi ya gesi ya Urusi ili kuipunguzia Urusi pesa ipatazo toka kwenye biashara hiyo...
Mamlaka za Jiji la Macau ambapo ni Kitovu cha Kamari Duniani, imeamuru biashara zisizo muhimu, zinazojumuisha zaidi ya kasino 30, kufungwa kwa wiki moja, ikiwa visa 1,536 vya COVID19 vimerekodiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.