Ndio nachelea kusema kwamba Urusi anamwaga damu zisizo na hatia kwenye nchi huru ya kidemokrasia Ukraine, anachofanya Putin ni sawa na alichotaka kufanya Iddi Amini dhidi ya Tanzania kule Kagera...
Shujaa na Mbabe wa kivita Ramzan Kadyrov amemuomba rais Putin amruhusu aingie Kyiv na vikosi vyake matata vya wachecheni wakamalizane na mabaki ya magaidi yaliyojificha Kyiv.
=====
Rais Vladimir Putin ametoa hotuba kali kwa wabunge la Urusi, akithubutu nchi za Magharibi kujaribu kupambana na Moscow kwenye uwanja wa vita nchini Ukraine .
"Unaweza kusema nini, waache...
Russia imeshambulia jana kwa makombora maeneo muhimu ya jiji la Kharkiv.
Jeshi la anga la Ukraine likatumia mifumo ya anga ya Ukraine kudungua makombora ya Russia. Makombora ya Urusi yalipofahamu...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata.
Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya...
Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti katika mji wa biashara wa Nigeria Lagos imeongezeka na kufikia 15 huku miili zaidi ikiopolewa, maafisa wa dharura wamesema Jumapili.
“Kulikuwa abiria 16...
Takriban watu 15 wameuawa na wengine takriban 20 wanahofiwa kufukiwa na vifusi baada ya roketi za Urusi kushambulia jengo la ghorofa huko Chasiv Yar, mji ulioko mashariki mwa Ukraine, maafisa...
Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu wa Uingereza ametangaza rasmi kujiuzulu
Bwana Johnson amesema alijaribu kuendelea kuwa madarakani na inamuuma kuona hataweza kumalizia mipango yake...
Mzuka wanajamvi!
Uhasama wa Wa China na Japan bado unaendelea. Baada ya kifo kilichotokea juzi ijumaa cha waziri mkuu wa zamani Japan Shinzo Abe ambaye aliuwawa kwa kupigwa risasi shangwe na...
Mashambulizi makali yametokea Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baina ya Jeshi la Serikali hiyo na wanamgambo wa M23, ikiwa ni nis aa chache tangu Rais wa DRC, Felix Tshisekedi...
Mkuu wa polisi wa mkoa wa Nara nchini Japan alisema "anachukua jukumu" la mauaji ya Shinzo Abe, waziri mkuu wa zamani wa Japan, ambaye aliuawa siku ya Ijumaa wakati wa hotuba.
Chifu Tomoaki...
Turkey's inflation soars to 36%, setting a new record for Erdogan era.
Istanbul (CNN Business)Turkey's annual rate of inflation has hit a 19-year high as a currency collapse sends the cost of...
Moscow imekamilisha maandalizi yake ya hatua za kukabiliana na Lithuania na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuzuia usafiri wa kwenda Kaliningrad na itaanza kuzitekeleza ikiwa hali haitakuwa sawa...
Leo nilikuwa zangu uko Facebook si ndo nikakutana na post hii. Naona watu wanalalamika na sio hiyo tu ni post nyingi nimekutana nazo za kuhusu huyu Moise Katumbi
Watu wanalalamika kwanini Moise...
Rais wa Sri Lanka kakimbia baada ya kutangaza nchi yake imefirisika
Maelfu ya Waandamaji katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo wamevamia Makazi rasmi ya Rais Gotabaya Rajapaksa. Maandamano hayo...
Hii ilifanyika 2021
The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year...
Huko Canada, kuna ubunifu mpya ambapo mtu anaweza kuchagua aina ya mti au maua yatakayooteshwa juu ya masalia ya mwili wake baada ya kifo. Kampuni moja imebuni makasha maalum biodegradable ambayo...
Mtuhumiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amedai kuwa silaha aliyotumia aliitengeneza nyumbani na alitengeneza nyingine kadhaa za aina hiyo.
Polisi wa Nara Nishi wamesema...
Kwa kifupi Biden hajaropoka TU,Bali amejikuta akitoa Siri kwa kukosa kifua.
Ni kama yule Rais alosema wanajeshi wakiwa vitani halafu akatokea msaliti wanajeshi humshughulikia.mda mfupi baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.