Putin loyalist demands Russia takes back Alaska from US
The threats are in response to calls for Western nations to sell Russian assets (Picture: Getty Images/EPA)
Vladimir Putin’s loyalists...
Sijajua huyu jamaa anamaanisha nini kwenye kauli yake , mara baada ya EU kuwapa membership status leo.maana bado hajawa member kamili ila ni jambo la kushangaza kupewa status membership wakati...
The Russian Aerospace Forces (VKS), itself a division of the Armed Forces of the Russian Federation, continued to build on their 2022 campaign with the successful launch of a GLONASS-K navigation...
Hiki ni kisa cha kusikiktisha sana. Mtoto Jason alimuona baba yake akiumwa na hadi kifo. Baba yake alikuwa mmoja wa wahanga wengi wa jumuia iliyokuwa na ugonjwa wa :Haemophilia, muathirirka wa...
Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa...
Kwa wale wenye ufahamu wa SIASA za uingereza tunaomba mtufahamishe.
Ni kwanini mawaziri wakuu wa hii nchi hawadumu madarakani. Utaona muda mfupu wanajiuzulu. Tatizo ni nini?
Mfano wa hivi...
WHO imetuma timu ya wataalam nchini humo ili kusaidia wahudumu wa afya wa kujiandaa kwa uwezekano wa mlipuko baada ya kurekodi visa viwili vya virusi vya Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio...
Former Minneapolis police officer Derek Chauvin has been sentenced to 21 years in prison on a separate federal charge of violating black man George Floyd’s civil rights.
While handing down...
Ni wazi kwamba USA na washirika wake wa NATO silaha walizozipeleka Ukraine zimeanza kufanya kazi ipasavyo, Russia kwa sasa inakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwenye vikosi vya Ukraine na muda si...
Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari
Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa...
Hapa ningependa kuweka wazi jambo hili hasa kwa Pro Russia wa hapa JF ambao wengi wao wanazani kujiuzuru kwa waziri mkuu wa UK, Boris Johnson kumechangiwa na mgogoro wa Ukraine.
UK ni nchi...
Watu wenye silaha wameshambulia gereza katika Mji wa Abuja Nchini Nigeria na kusababisha wafungwa zaidi ya 600 kati ya 994 kutoroka wakiwemo wahalifu maarufu, maafisa wa zamani wa Serikali pamoja...
I
Well kikweli BREXIT is far difficult to understand (ngumu balaa kueleweka) hata kwa waingereza wenyewe ila wacha nijaribu kutumia mifano rahisi ya kinadharia itakayowwza kukujengea picha ya...
Russian businesses in the U.S. face backlash over war in Ukraine
“We’ve had people call and say they would bomb us,” the owner of a Russian restaurant in California said.
A window of the Russia...
Binti murembo sniper wa Brazil katandikwa na mashambulizi ya anga ya Russia. Huu MZIKI WALI Canadian Elite sniper aliukimbia halafu karembo kanaenda eti kuongeza CV😅😅😅😅
Nb: chombo kilichoripoti...
Kwa mtu ambaye Rwanda hujafika na jinsi inavyotangazwa unaweza kusema haina kasoro.
Kila sehemu duniani kuna kasoro mfano Nairobi-Kibera, Dar-Mwananyamala na n.k
Sasa huko Rwanda Kigali
Huu mfano ni tosha ambao tamaa za viongozi na mabavu katika madaraka miaka ya nyuma walijikuta wakiuza kipande kilicho karibu na Canada na Marekani.
Sio mfano huu tu kuna kipindi Urusi ilishindwa...
Hivi karibuni mitaa na majengo mengi maarufu huko Hong Kong yamepambwa na bendera ya taifa la China na bendera ya mkoa huo huku shughuli mbalimbali za kusherehekea miaka 25 tangu Hong Kong irudi...
Umoja wa Mataifa umeonya kuwa mikoa 8 kati ya 18 nchini Somalia iko katika hatari kubwa ya kukumbwa na njaa ifikapo Septemba, kutokana na ukame huku ikikadiriwa kuwa watoto 200 wamefariki kwa...
Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.