Mrusi ajiandae kwa armaggedon, Ukraine wanaendelea kupata silaha kali za maangamizi makubwa na pia mzuka unazidi kuwapanda, wanajipanga kutiririka milioni moja kutwaa tumiji miji tudogo twa huko...
Ndio kiwanda pekee kilichokua kimesalia cha kutengneza vifaru, jameni aliyemuingiza Putin kwenye huu mkenge haitokuja asamehewe.
The only tank manufacturer in the Russian Federation –...
Mwanamke mmoja kutokea Urusi ameripotiwa kukamatwa kwa tuhuma za kumuuza Mtoto wake mchanga kwa kiasi cha chini ya $3,500 (Tsh. 8,162,000) ili kutumia pesa hizi kulipia huduma ya kubadilisha...
Laurent Bucyibaruta, aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Gikongoro Kusini amekutwa na hatia nchini Ufaransa kwa kuhusika na mauaji ya halaiki ya mwaka 1994, ambapo takriban Watutsi 800,000 na Wahutu...
Habari wakuu nawasalimu,
Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine.
Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo...
Watu 84 wamejeruhiwa na mmoja kufariki dunia kufuatia mvutano kati ya Maafisa wa Polisi na Waaandamanaji karibu na jengo la Bunge na katika Ofisi ya Waziri Mkuu
Bado Wananchi wanasubiria Rais...
Kuna hili jambo linalozihusu Urusi, Ukraine na Ujerumani. Ujerumani inaitaka sana gesi ya urusi kwa ajili ya uchumi wake. Viwanda vingi hata vile vya kijeshi vinatumia umeme unaotokana na gesi...
Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja...
Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC.
Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii.
Itoshe nisema hili ni pigo...
Miaka 10 tu inatosha kupima uwezo wako wa uongozi. Ghadaffi ALITAWALA Miaka 41 ALIKUWA na KITU GANI CHA ZIADA?
Kuna watu wengi wanalalamika kupinduliwa Kwa ghadaffi Kwa madai ETI alikuwa na maono...
Mamilioni ya wakazi wa Shanghai Nchini China wamefanyiwa vipimo vya UVIKO-19 kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Omicron na ikiwa maambukizi yatakuwa mengi kuna uwezekano wa kutolewa amri ya...
Nimesikiliza interview ya General Kagame akiongelea jinsi anavyoliona tatizo la huko Congo Mashariki.
Kiufupi anasema bila kumung'unya maneno kuwa wasipopatana anajitayarisha kwa vita na kwa...
Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ambaye anakaimu nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwa sasa baada ya Rais Gotabaya Rajapaksa kukimbia Nchi ametangaza Hali ya Hatari na muda wa Wananchi...
- Awali ya yote ningependa kuorodhesha baadhi ya jamii za kizungu , za watu weusi na zengine za watu wa Asia ya mbali.
- Jamii za kizungu [ waingereza , wajerumani, wafaransa...
China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia.
Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa...
The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with...
Kamanda mkuu wa kundi la waasi la M23 Generali Sultani Makenga amerudi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, akitokea nchi Jirani ambayo msemaji wa kundi hilo Maj. Willy Ngoma hakutaja...
Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa
Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.