Msemaji wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Mali, Olivier Salgado imesema kuwa Misri itaondoa wanajeshi wake katika nchi hiyo ifikapo Agosti 15, kufuatia mashambulizi mabaya dhidi ya walinda...
Ivana Trump aliyekuwa mke wa Donald Trump amefariki dunia nyumbani kwake huko New York City
Ivana alikuwa ni mke wa kwanza wa Donald Trump, amefariki akiwa na umri wa miaka 73
Marehemu alizaa...
Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45.
Mmiliki wa kondoo...
European Union member Lithuania will allow sanctioned Russian goods to transit its territory on their way to Russia's Kaliningrad exclave, its Foreign Ministry said on Wednesday, reversing its...
Marekani ni taifa ovu kupiltiliza!! Marekani imepokonya mabilioni ya dola za marekani mali ya urusi! Kama hiyo haitoshi imepokonya mabilioni ya dola za marekani zikiwa ni pesa binafsi za raia...
Baada ya kikao Cha umoja wa ulaya kumalizika, Waziri mkuu wa Czech akasema
"Gesi ya urusi haitakua tena miongoni mwa sanctions ktk hii awamu ya saba inayofuata ya vikwazo dhidi ya...
Mapema leo jeshi lai Togo limeelezea kujuta kwa kuwaua vijana saba wadogo siku ya Jumamosi usiku ambao liliwauwa kimakosa kwa kudhani kuwa walikuwa ni wapiganaji wa kigaidi
Leo katika taarifa...
MAREKANI INAZIDI KUTIA AIBU.
Naam ni yuleyule anayejiita superpower anayesifiwa yuko juu kwenye tech kushinda taifa lolote duniani naam!! sio mwingine bali ni US.
Mnakumbuka week mbili zimepita...
Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto...
Saudi Arabia, Uturuki na Egypt zimeamua kujiunga na BRICS ambyo ni muunganiko wa nchi za Urusi, China, Brazil, India na South Africa. Maombi yao yatajadiliwa kwenye kikao cha BRICS kitachofanyika...
Hiki ndicho unachoweza kusema, Marekani sasa yaanzisha propaganda za kwamba Putin ana mpango wa vita ya muda mrefu ili waendelee kupeleka misaada ya kivita na kifedha, lengo likiwa ni kuyakomboa...
Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama.
Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi...
Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki...
Muigizaji wa Nigeria, Olanrewaju Ominyika (49), maarufu kama ‘Baba Ijesha’ amepatikana na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 14 kati ya mwaka 2013 na 2014
Mnamo Mwaka jana, Omiyinka...
Makombora ya Urusi yaliyorushwa katikati ya Nchi ya Ukraine yameua takribani watu 20 kati yao wakiwemo watoto watatu na wengine 90 kujeruhiwa.
Msaidizi Mkuu wa Polisi, Kyrylo Tymoshenko amesema...
Katika malisho ya nyanda za juu kwenye Kijiji cha Menma, Kaunti ya Ganzi, mkoani Sichuan China, kulungu mwenye midomo myeupe alitafuta majani kwenye malisho kwa raha akiyafuata makundi ya Nzao ya...
Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria
Marufuku hiyo iliyodumu kwa...
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu...
Wanadiplomasia wakuu kutoka Marekani na China wamekuana leo Julai 9, 2022 kwa zaidi ya saa tano katika juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya Nchi hizo mbili.
Waziri wa Mambo ya Nje wa...
Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.