Sudan imefungua tena mpaka wake muhimu na Ethiopia wa Gallabat ambao ulifungwa Juni 27, baada ya kuishutumu Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi wake saba.
Taarifa ya kamati ya kiufundi ya Baraza la...
Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya...
Salama wandugu,
Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa,
Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola...
Ghana imethibitisha visa viwili vya Virusi vya #Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio katika familia moja na Virusi vinavyosababisha #Ebola huku wagonjwa wote wawili wakiripotiwa kufariki Kusini mwa...
Mei 9, 2014, Xi Jinping alipofanya ukaguzi mkoani Henan, aliangalia hali ya ukuaji wa ngano kwenye mashamba ya Zhangshi Wilaya ya Weishi
Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya...
Helikopta ya kijeshi iliyobeba watu 15 wakati wa operesheni ya kuwasaka wahalifu wa madawa ya kulevya imeanguka na kuua watu 14 Nchini Mexico, aliyesalimika akiwa ni ofisa mmoja ambaye...
Wana dunia,
Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa...
Kwenye hoja Moja kwa moja.
Haya maisha hayaishi.
Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa...
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Sri Lanka hadi Bunge litakapomchagua mrithi wa Gotabaya Rajapaksa, aliyeikimbia Nchi hiyo na kisha kujiuzulu kufuatia...
Waarabu wameona hamna namna ya kumtegemea Urusi tena kwa aibu aliyo onyesha kule Ukraine, wameanza kukubali kuingia muungano wa kulindana na NATO.
===================
Late last week, the king of...
Waandamanaji wamesema wataendelea kubaki katika Makazi ya Rais na Waziri Mkuu hadi Viongozi hao watakapojiuzulu rasmi. Kwa mujibu wa Spika wa Bunge la Nchi hiyo, Rais Gotabaya Rajapaksa atajiuzulu...
Urusi na Ukraine: Milipuko na moto mkubwa vinaripotiwa katika jimbo la Odessa
Suspilne OdessaCopyright: Suspilne Odessa
Katika Odesa kuna moshi mkubwa unaopaa angani, kulingana na vyombo vya...
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa anatarajiwa kusafiri kutoka Maldives alikokimbilia kisha kuelekea Singapore anakotarajiwa kuwasili jioni ya leo Julai 14, 2022.
Vyanzo vya habari zimeeleza...
The European Union has “shot itself in the lungs” with ill-considered economic sanctions on Russia, which, unless rolled back, risk destroying the European economic sanctions on Russia, which...
Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643.
Mahakama imesema alijihusisha...
The General of the 22nd Army Corps have been killed after a HIMARS strike conducted by the Ukrainian Armed forces in the Kherson Regions. The General goes by the name “Nasbulin”. The strike has...
Wazungu wa Magahalibi ni wajinga sana walijifanya kutukana mammba kabla hawajavuka mto.
Urusi ni moja ya nchi zenye ndege kubwa kabisa za kuzima mioto na kipindi cha nyuma Urusi ilisja saidia...
Urusi kushindwa kutawala anga la Ukraine.
memba mmoja wa JF T14 Armata,hupenda sana kuelezea swala hili la kumiliki anga.
Yeye hupenda kusema Urusi haitumii mtindo wa kumiliki anga kama vile...
Siku kazaa zilizopita, mara baada ya kiongozi wa chama tawala nchini India kutoa matamshi yenye utata dhidi ya mtume Mohammad, India imejikuta katika mgogoro wa kidiplomasia dhidi ya nchi za...
Rais wa Sri Lanka ambaye anatarajiwa kukabidhi madaraka Julai 13, 2022, Gotabaya Rajapaksa inadaiwa alipelekwa katika kambi ya jeshi la wanaanga karibu na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.