International Forum

News and Stories from rest of the World
Kweli Putini kamwashika pabaya Ulaya nzima. Anyway, twende kwenye mada. Jamaa hao waruhusu viwanda vyao kuanza kutumia makaa ya mawe kama chanzo cha nishati. Ifahamike kuwa Ujerumani walisha...
2 Reactions
7 Replies
688 Views
From Quora All behind this , it is the intentions of USA to invade/divide Turkey in next decade… Of course Turkey would the next nation after all weak ones had been invaded!! General Wesley...
2 Reactions
1 Replies
596 Views
Wapinzani wa mtawala wa North Korea ambao wengi wao wako korea ya Kusini wamekuwa wakipeleka misaada jamaa zao walioko Korea ya Kiduku kwa kutumia maputo maalum yaliyojajwa hewa ya helium. Misaada...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha...
0 Reactions
3 Replies
519 Views
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia...
11 Reactions
100 Replies
6K Views
Rais wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa ameondoka nchini mapema Jumatano kuelekea kisiwa jirani cha Maldives, maafisa wamesema. Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 73, mke wake na mlinzi wake ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Zelensky na majeshi yake ya Ukraine wamekuwa wakiwatumia raia kama ngao za vita. Umoja huo umetaja mapigano ya maeneo tofauti tofauti ambapo majeshi ya Ukraine...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya nje wa Uturuki ametoa taarifa ya kwamba,Wameitaarifu Urusi kuwa ndege zake zote za Kiraia na Kijeshi hazitaruhusiwa kupita kwenye Anga la Uturuki kuanzia Sasa kwa mda wa Miezi...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
North Korea says 99.98% of its nearly 5 million "fever patients" since late April have fully recovered. The country has a near 0% COVID vaccination rate. North Korea is reporting that 99.98...
2 Reactions
4 Replies
578 Views
Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa asema ilitakiwa Urusi kutumia mahakama za umoja wa mataifa sio kuvamia Ukraine Asema charter ya Umoja wa mataifa inaeleza wazi kuwa migogoro kati ya nchi na...
4 Reactions
82 Replies
5K Views
Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ========================...
10 Reactions
62 Replies
4K Views
Takriban waandamanaji 300, wengi wao wakiwa wanachama wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC), wameandamana Jijini Johannesburg, kuwasilisha orodha ya madai ikiwemo ya kutaka Rais...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo)...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
While world attention and concern have been focussed on the need to prevent climate change by the control of carbon emissions, the dangers of ‘weather warfare’ have been ignored. Michel...
1 Reactions
6 Replies
678 Views
Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umekubaliana kuipa Ukraine msaada zaidi wa kijeshi wa Dola Milioni 508 (Tsh Trilioni 1.17). Rais wa Baraza la EU, Charles Michel amesema mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekubali kuwa atajiuzulu Jumatano ijayo Julai 13, 2022 na ameshatoa taarifa hiyo kwa Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardana ambaye ndiye ametoa tangazo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Hii sheria inapitishwa miongoni mwa malengo ni kulinda watoto juu ya kuathiriwa na maswala yanayohusiana na LGBT nchini Urusi. Tumeona nchi kama Belarus wangese wamepigwa marufuku kabisa...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom